Kusafisha maji

Kusafisha maji

fimboyaukwaju

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2020
Posts
2,977
Reaction score
3,798
Wadau sina uwezo wa kununua maji ya kunywa ya chupa kwa ajili ya familia,maana tupo wengi,hivyo huyachemsha na kuweka kwenye water dispenser,lakini huwa yana uchafu,je nitumie njia ipi ya kuyadafisha?kuna dawa ambayo nikiweka itayasafisha maji na yawe salama kwa kunywa?
 
Tumia water guard chukua ndoo ya lita 20 weka kidonge kimoja baada ya dk 30 chuja kunywa maelezo zaidi kwenye vidonge ukinunua
 
Njia ya asili tumia mbegu za mlonge pia ...pondaponda au saga tia kwenye maji , uchafu vumbi tope linaendaa kukaa chini , chuja chemsha
Inasaidia kuua vijidudu pia kwenye maji
 
Njia ya asili tumia mbegu za mlonge pia ...pondaponda au saga tia kwenye maji , uchafu vumbi tope linaendaa kukaa chini , chuja chemsha
Inasaidia kuua vijidudu pia kwenye maji
ulishawahi kutafuna mbegu za mlonge mkuu..??
naona unataka watu waharishe..🤣
 
Back
Top Bottom