Kusaga ampigia simu Diamond Platnumz akiwa live Clouds FM

diamond ni media owner wa media ipi??Kama ni wasafi media owner ni familia ya huyo huyo kusaga through mke wake...
 
Mondi kama maji ndio maana hata wewe pamoja na kumchukia lkn haipiti siku bila kumzunguzia Mondi,yaani wewe huwezi kumkwepa Mondi kivyovyote utamzungumzia.
 
Alikiba ndo anaendesha hiyo Media kwa sasa baada ya Ruge kufariki sema tu hapendagi show-off

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kusaga naye ameonekana alikuwa akibebwa na Ruge hakuna anachojua hapo CMG. Huo nao watasema ubunifu.

Diamond ili aonekane katoa mchango kukabiliana na corona lazima achangie mafenesi, papai na mbuzi!
Sio jambo la kuongea sauti ya chini ....kusaga ni investor ila we all know the master mind alikuwa nani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umechezwa wimbo wa Innos ft Diamond - YOPE



"Not everything is for everybody"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…