Kusaga ampigia simu Diamond Platnumz akiwa live Clouds FM

Hizo additional ni utashi wako, wewe ndio ungeniambia how majizo mwenye 40% share zusimfanye awe na majority share, Wewe si ndio ulikuwa amekomaa kuwa Mark na Majizo Hawana majority shares? Ndio nimekujibu Mark ana majority shares 24% na majizo ana majority shares 40%, hizo hesabu ulizoweka labda unataka kuonyesha uhodari wako wa kujumlisha hesabu za asilimia.
 
Naona unabisha mpaka ulichokiandika wewe,basi acha tuendelee kufanya assumptions,za majizo ukijumlisha za mamdogo unapata za MAJIZO.
 
Kusaga ni owner wa radio zote na kuchanga sio kutafuta masifa.

Kuna kitu kinaitwa Corporate Social Responsibility, ni nini, na faida zake ni zipi kwa kampuni husika inayofanya hiyo kitu.

Then jiulize, Diamond kuchangia kupitia Clouds, anaye win ni Clouds, vipi kuhusu Wasafi?
 
Kuhusu wasafi muachie Kusaga coz both clouds na wasafi zinamuhusu.
 
YULE mzee hata Vijana wake huwa wanamuita DUDU LA YUYUUU..ningefurah saana RUGE angekuwa hai...Nadhan asinge thubutu ..Kwanza akiongeaga huwa hana madin...Tofaut na ILE ukisikia kesho RUGE ana interview attention iwepo...Lazima atatoa madini kadhaa...MZEE CHENGA.....Hata GOT TALENT alishindwa kwenda kuizindua koz of MTUNGI na kuchelewa ndege...R.I.P RUGE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The Mnyama Mkali ...
 
Ukitaka kuimiliki kampuni, miliki majority shares, Hauwezi ukamtoa mtu mwenye share nyingi kwenye umiliki wa kampuni! ulijiuliza kwa nini serikali ilikomaa Mo asivuke 51% ya hisa simba? simply angevuka hiyo % timu yote ingekuwa mfukoni kwake.
Mkuu mbona unabisha facts so unakataa diamond hana hati miliki ya wasafi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…