Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Mkurugenzi Mtendaji na Mwanzilishi wa Clouds Media Group Joseph Kusaga akizungumza kupitia M&S PODCAST amesema;
"Mimi kuna wakati nilikaa, bwana siyo siri, mpaka nikampigia simu Tido nikamwambia 'wakati ule wanakuja kuweka sijui mambo ya watu ambao hawaja... ithibati sijui nini,' nikamwambia 'Tido...'"
"Nilimwambia Tido, 'Tido, hivi wewe mtu amekaa kwenye broadcasting miaka 20, amekuja kwenye semina za TCRA zisizopungua 20, hajawahi kupata barua ya warning hata nini katika broadcasting, unakuja kumlinganisha na... sisemi kwa ubaya, ndiyo umesoma sijui SAUTI nini umekuja una degree yako. Unaweza ukamlinganisha na mtu kama Masoud? Au? It's impossible. Hebu kaeni muangalie. Hao watu tunapigwa na nchi nyingine. Experience ya hawa vijana waliokuwa nayo hawa wamekaa muda mrefu, ni experience kubwa sana...."