bodi ya ithibati ya waandishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kusaga: Nilimpigia Tido Simu kuhusu Ithibati, nikamwambia Mtu wa Miaka 20 kwenye Broadcasting unakuja kumlinganisha na Mhitimu Mpya?

    Mkurugenzi Mtendaji na Mwanzilishi wa Clouds Media Group Joseph Kusaga akizungumza kupitia M&S PODCAST amesema; "Mimi kuna wakati nilikaa, bwana siyo siri, mpaka nikampigia simu Tido nikamwambia 'wakati ule wanakuja kuweka sijui mambo ya watu ambao hawaja... ithibati sijui nini,' nikamwambia...
  2. BigTall

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa Ndimara Tegambwage, asema “Ithibati na Press Card: Pacha au Pachanga? TUSEMEZANE”

    KITAMBULISHO au Press Card anayobeba mwandishi wa habari, haina uwezo wa kumpa au kumwongezea elimu, maarifa wala stadi. Tuseme hivi: Hiki ni kitambulisho tu. Hakina hata uwezo wa kukamilisha, kuongeza au hata kupunguza sifa za mwandishi wa habari. Ni kwa ajili ya kutambulishwa na...
  3. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania GE2025 JAB: Ezekiel na Baraka wanaoshikiliwa na Polisi SIO waandishi wa habari, hawajawahi kujisajili! Hawana hadhi ya kutambulika kama waandishi

    BODI YA ITHIBATI YA WAANDISHI WAHABARI UFAFANUZI KUHUSU WANAODAIWA KUWA WAANDISHI WAHABARI KUSHIKILIWA NAJESHI LAPOLISI MKOANIARUSHA Dar es Salaam 12 Septemba, 2025 Kwa mujibu wa Kifungu cha 13(a) cha Sheria ya Huduma za Habari Sura ya 229, Bodi ina wajibu wa kutoa ithibati na vitambulisho...
Back
Top Bottom