Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Nchi yenyewe ukiongea unakula pyupyu nani atathubutu kuleta professionalism.Tido huyu amebadilika sana. Huwezi kuamini ndio yule aliyefumuliwa TBC kwa sababu tu aliwapa fursa vyama vya upinzani kujieleza kuhusu uchaguzi. Sasa ndio huyu anaita kina Pascal kuhojiwa kwa kusema anadhani Mwigulu ana wivu.
Watu bwana huwa wanalaumu kubanwa kwa waandishi wa habari lakini wakiambiwa basi kaa wewe kwenye hizo bafasi unazowalaumu wengine wanafanya yale yale waliyokuwa wakiyakosoa.
Hypocrisy!
Wakasome, hawataki watuachie nchiTido huyu amebadilika sana. Huwezi kuamini ndio yule aliyefumuliwa TBC kwa sababu tu aliwapa fursa vyama vya upinzani kujieleza kuhusu uchaguzi. Sasa ndio huyu anaita kina Pascal kuhojiwa kwa kusema anadhani Mwigulu ana wivu.
Watu bwana huwa wanalaumu kubanwa kwa waandishi wa habari lakini wakiambiwa basi kaa wewe kwenye hizo bafasi unazowalaumu wengine wanafanya yale yale waliyokuwa wakiyakosoa.
Hypocrisy!
Wazungu Wana nahau zao nyingi..Ila hao watangazaji waliokuwa na experience ya zaidi ya miaka 20 walifanya uzembe ,tangu mwaka 2016 mpaka 2025 walishindwa kweli kusoma na kupata diploma? Tena kwa wao kuna hata vyuo viliwaambia watakuja kuwafundisha ofisini mwao lakini walichukulia poa.
Nimeona Zembwela kasharudi wasafi naona kaqualify na JAB ila Kitenge naona bado anapambana na masomo.
Naungana na Adam Mchomvu ,kama JAB wameweka vigezo vya kuwa mtangazaji basi mstari uchorwe hakuna mambo ya huruma sijui experience wala nini...africa wanaangalia sana makaratasi.
Wazungu Wana nahau zao nyingi..
Mfano hii hapa "You're hiding behind excuses because you can't stand on qualifications"
Ni sahihi naona alicho zungumza kusaga ni EXCUSES za kijinga sawa una uzoefu lakini huna vyeti vya taaluma.
Nikama Mimi nijifanye PROFESSOR WA NYUKLIA

ni muhimu sana kufuata sheria ni muhimu sana πMkurugenzi Mtendaji na Mwanzilishi wa Clouds Media Group Joseph Kusaga akizungumza kupitia M&S PODCAST amesema;
"Mimi kuna wakati nilikaa, bwana siyo siri, mpaka nikampigia simu Tido nikamwambia 'wakati ule wanakuja kuweka sijui mambo ya watu ambao hawaja... ithibati sijui nini,' nikamwambia 'Tido...'"
"Nilimwambia Tido, 'Tido, hivi wewe mtu amekaa kwenye broadcasting miaka 20, amekuja kwenye semina za TCRA zisizopungua 20, hajawahi kupata barua ya warning hata nini katika broadcasting, unakuja kumlinganisha na... sisemi kwa ubaya, ndiyo umesoma sijui SAUTI nini umekuja una degree yako. Unaweza ukamlinganisha na mtu kama Masoud? Au? It's impossible. Hebu kaeni muangalie. Hao watu tunapigwa na nchi nyingine. Experience ya hawa vijana waliokuwa nayo hawa wamekaa muda mrefu, ni experience kubwa sana...."