ielewemitaa
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 10,764
- 9,477
Kusaga ajajibu swali unapeleka tuhuma kwa mameneja , " Kipi kiliwafanya wasipige nyimbo hizo kabla ? hapa tunahitaji majibuNilishawahi kusema hapa huyo Diamond tatizo lipo kwa mameneja wake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakika swali la msingi kalikwepa kwanza angetujibu.Kuna swali la msingi hapa anatakiwa alijibu na amelikwepa " Kwanini Mwanzo waliacha kuzipiga nyimbo za wasafi ?
Kusaga anataharuki
Jibu la swali hilo litamaliza ugomvi woteHakika swali la msingi kalikwepa kwanza angetujibu.
Huenda uongozi wa wcb ulikuwa sahihi kuhoji.
Hilo hawezi jibu.Lkn walikataa kupiga nyimbo za wasanii wengi akina Suma G,Mapacha,Lady Jay Dee,Rama Dee,Wagosi wa Kaya nk.Ila kwa WCB wameshindwa sababu walichotarajia,hakikuwa kama walivyotegemea kwa wasanii wengine waliowabania.Kuna swali la msingi hapa anatakiwa alijibu na amelikwepa " Kwanini Mwanzo waliacha kuzipiga nyimbo za wasafi ?
Hili swali anaetakiwa kulijibu hayupo Ambae ni Ruge,.Kuna swali la msingi hapa anatakiwa alijibu na amelikwepa " Kwanini Mwanzo waliacha kuzipiga nyimbo za wasafi ?
Huenda rumors kutoka wcb ndo zilisabanisha wakaacha kucheza nyimbo hizo na baadae wakabaini huenda uliwa uongo .pridictions lakiniAjajibu swali Kusaga " Kipi kiliwafanya wasipige nyimbo za wasafi ? hili swali ajajibu
Ameacha makablasha wanatakiwa wayarejee kisha waje watuambie kwanini walikuwa awazipigi nyimbo za wasafi ?Hili swali anaetakiwa kulijibu hayupo Ambae ni Ruge,.
Unauliza Maswali ya Kitoto. UTEAM unakusumbua ..Ameacha makablasha wanatakiwa wayarejee kisha waje watuambie kwanini walikuwa awazipigi nyimbo za wasafi ?
Swali la kitoto huku unakosa majibu , wewe ndio mtoto swali limekuzidi sana , Kwanini waliamua wasipige nyimbo za wasafi ? hili swali lazima lijibiwe ili tujue ukweliUnauliza Maswali ya Kitoto. UTEAM unakusumbua ..
Ni kama walivyo mfanya Ruby akalamba matapishi yake kisa Air time , kwa Diamond ni tofauti watalamba wao Clouds matapishi yao ,clouds wanataka huruma kwa raia tuh