April Jr
JF-Expert Member
- Mar 27, 2019
- 244
- 1,224
Very trueYani mmiliki wa Kituo cha habari A na B ana enda kuulizwa maswali kuhusu kituo A huko kituo B...
Wakati huo huo mmiliki huyo huyo ndiye mmiliki wakundi lililo mwandikia barua... Ana jaribu kupuuza au wana jaribu kucheza na akili za wambea wa mjini...
Wambea wameshupaaaaa... Hawaelewi nini kina endelea wanashusha shutuma...
Mwisho was siku A na B, Mmiliki na Kundi wameshinda, nyasi zina baki kuumia
Sent using Jamii Forums mobile app