Kusaga : Tulipopiga wimbo wa Mbosso tuliambiwa tujieleze kwanini tulikuwa hatupigi nyimbo za wasanii wa Wasafi. Uongozi wa WCB uulizwe

Very true

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Swali la kitoto huku unakosa majibu , wewe ndio mtoto swali limekuzidi sana , Kwanini waliamua wasipige nyimbo za wasafi ? hili swali lazima lijibiwe ili tujue ukweli
Sasa hapa unamuuliza nani? Kama mtangazaji Mwenyewe hakumuuliza Kusaga hapo ndipo swali lako tunaliona ni la Kitoto..

Kila anaecoment unamuuliza swali hilo hilo Ujioni kama una utoto ndani yake?
 
Sasa hapa unamuuliza nani? Kama mtangazaji Mwenyewe hakumuuliza Kusaga hapo ndipo swali lako tunaliona ni la Kitoto..

Kila anaecoment unamuuliza swali hilo hilo Ujioni kama una utoto ndani yake?
Lengo la swali nikukuonyesha kuwa mameneja wa wasafi walikuwa right kuuliza " Kwanini nyimbo za wasanii wao zilikuwa azipigwi clouds" na bahati mbaya Kusaga kakimbia swali , hivyo ukweli unabaki pale Clouds ndio tatizo la ugomvi huu OVER
 
Kuna clip moja ya Tale ilitembeaga sana
inasema kwa kua wao walianza kutukataa na mimi nasema anae kukataa na wewe mkatae. Kwa kua walikataa kupiga nyimbo zetu basi wasizipige tena.

Na hivo ndivo inavotakiwa mwanaume lazima uwe na msimamo kama yes basi iwe yes kama ni no basi iwe no, lazima kuna sababu nyuma ya pazia haiwezekani from no where tu mtu akuambie usipige nyimbo zangu..
Tatizo hawa jamaa mawingu fm misifa ilikua imewajaa walijiona wao ndio wao na bila wao hakuna msanii ataweza kusimama, yani kila kitu ufanye kama wanavyotaka wao... This is bullshit yani ni sawa na mzazi kisa kakusomesha basi akuchagulie mke wa kuoa, akuchagulie idadi ya watoto wa kuzaa, akuchagulie sehemu ya kuishi,, kitu ambacho ni impossible.. Big up sana kwa Wcb nzima kuanzia uongozi wa juu mpaka mlinzi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kusaga ajajibu swali unapeleka tuhuma kwa mameneja , " Kipi kiliwafanya wasipige nyimbo hizo kabla ? hapa tunahitaji majibu
Hilo swali halimuhusu Kusaga bali linamuhusu mkurugenzi wa vipindi,

Kusaga kama mkurugenzi mkuu alivyogundua nyimbo za WCB hazipigwi yeye akatoa maelekezo nyimbo zipigwe sasa kama wcb wanataka barua ya majibu kama majibu ya posa wakati radio ni yake ndiyo amewaachia hapo waendelee kusubiri majibu na kwa maelezo hayo ya Kusaga ni wazi hana muda wa kujibu hilo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muendeshaji wa vipindi ni nani ? acha kudanganya watu hili ni jambo walilokubaliana management nzima ya CMG kuwa hakuna kupiga nyimbo za wasafi , leo ukipiga lazima uulizwe sababu ipi uliitumia mwanzo na sababu ipi umeitumia sasa , huwezi kumtenga Kusaga na management ya CMG huo ni uongo
 
Nilishawahi kusema hapa huyo Diamond tatizo lipo kwa mameneja wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Vp kuhusu wasanii wengine kama 20%,jide,dudubaya nao walukataa nyimbo zao zisipigwe clouds? Hebu weka pembeni roho ya chuki na wivu halafu tumia walau dakika mbili tu uvute kumbukumbu kuhusu clouds na kasumba zao.je ni wcb ndio waliokataa nyimbo zao kupigwa clouds toka awali au ni clouds ndio walioanza kutopiga nyimbo za wasanii wa wcb?Yaan haters mnashida sana.
 
Utasubili mpaka kinyeo chako kitajaa vinyweleo, kwa huyu msanii ambae hana hit song kwa mwaka mzima, amebaki kutoa Remex ya nyimbo za watu,.
Eti hana hits songs, embu nitajie msaani wako mwenye maajabu kama haya..

acha kupayuka payuka kama watu wa kimataifa wewe[emoji16][emoji16]

[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama wao mwanzo walivyogoma kupiga nyimbo za wcb..ndio Management ya WCB nayo imegoma saizi..hakuna cha kushangaza hapo..
Na kwanini upige nyimbo zao saiz baada ya jamaa kuwa wamoto?

Na wasanii wengine waliowakazia nyimbo zao ,je Management yao nao iligoma? Cmg wanafikir kila mtu ni kilaza.[emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ili ujue huyu bwana ni muongo, mbona nyimbo za WCB za rich mavocko na harmonize wanazipiga kwenye studio yake?
Hii ni njia mpya ya kutafuta huruma kwa jamii iliyoanza kuwatenga kutokana na roho zao za kichawichawi

Diamond anatakiwa awe makini na hilo zimwi lisilopenda mwingine anyanyuke zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…