Kusaga : Tulipopiga wimbo wa Mbosso tuliambiwa tujieleze kwanini tulikuwa hatupigi nyimbo za wasanii wa Wasafi. Uongozi wa WCB uulizwe

Kusaga : Tulipopiga wimbo wa Mbosso tuliambiwa tujieleze kwanini tulikuwa hatupigi nyimbo za wasanii wa Wasafi. Uongozi wa WCB uulizwe

cocastic,
Ile mutu ya Musoma akili mingi. Na ndiyo maana akamleta mtani mwenzake Ruge wafanye maajabu. Ni maujanja ya kibiashara tu.
 
Usikatae kabla Ruge hajafariki mda mwingi alikuwa akiishi Dubai Ruge ndo alikuwa master mind wa kila kitu pale Mjengoni

Sent using Jamii Forums mobile app
Yale ni maamuzi ya Management sio RUGE pekee , hivyo ata Kusaga awe anaishi mawinguni kwasababu ni sehemu ya Management ya CMG basi taarifa alikuwa nayo na akakaa kimya kwa Zaidi ya miaka 2 akisikilizia kama vijana wa wasafi watadondoka , lakini aikutokea hivyo , sasa anawajibika kujibu swali hili , kama ataki basi waendelee na msimamo wao wa kutokupiga hizo nyimbo , kwa maana wasafi bila Clouds inawezekana
 
Huku kwetu sijaona mtu akiangalia wasafi TV..nyie mnaotazama mnakaa wapi hapa Dar??
 
Ile mutu ya Musoma akili mingi. Na ndiyo maana akamleta mtani mwenzake Ruge wafanye maajabu. Ni maujanja ya kibiashara tu.
we jamaa bana,Kusaga ni mtu wa musoma wapi wakati ni msambaa pure.
 
Hebu tumia kichwa kufikiri kabla kuandika hapa,inamaans hujui kama jide mwaka huu katoa nyimbo mpya?hujui kama dudu baya anangoms kadhaa mpya ikiwemo ile ya konki aliyomshirikisha rayvanny?Je zimepigwa lini clouds?Haters mmefeli kumwangusha diamond ndio maana mmetumia ule msemo wa. Ifu can't fight them join them,ila Kwa bahati mbaya mmefeli tena maana hamuaminiki tenaa
Hao ulio wataja hapo sidhani kama ni mfano sahihi...
Uki sema clouds unasema ni taasisi ambayo ina taratibu zake.. Kwa taasisi yoyote ile haiwezi ikabumilia vitu ambavyo ana vifanya Dudu baya dhidi yao..huwezi ukaitukana taasisi alafu uje useme tupige nyimbo zako.haiwezi ikatokea hii..

Huyu LJD mbona ishu yake ina fahamika toka kitambo na yeye ali isema na marehemu Ruge ali sema. Na mara ya mwisho Ruge alisema Akituruhusu tupige nyimbo wata piga?
Na ilikuwa dhahiri kabisa JD na Ruge wali pelekana mpaka mahakamani na Ruge akashinda lakini kwa sababu Ruge ali itaka heshima ya Taasisi yake alikataa kulipwa...

Hapo Ungekuja na mfano wa watu wengine inayo julikana kuwa hawapigi kwa sababu za kijinga sawa[emoji28][emoji28]



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na salaam ndo kamfikisha hapo alipo...
Sk nafikiri na yeye ana feli sehemu...
Kuna muda mimi huwa na amini bifu la clouds na Diamond tatizo sio Diamond wala clouds. ....Huyu huyu Sk ndiye manager wa Navy kenzo...Toka Navy Kenzo waseme meneja wao mpya ni Sk nyimbo zao hazi pigwi na wao Clouds

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom