Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,391
- 21,045
we ndio ujui chochote 😂😂 unapelekwa pelekwa tu.Hujui chochote...!! Sk mwache Tu abaki hvyo hvyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
we ndio ujui chochote 😂😂 unapelekwa pelekwa tu.Hujui chochote...!! Sk mwache Tu abaki hvyo hvyo
Noted.Usikatae kabla Ruge hajafariki mda mwingi alikuwa akiishi Dubai Ruge ndo alikuwa master mind wa kila kitu pale Mjengoni
Sent using Jamii Forums mobile app
Yale ni maamuzi ya Management sio RUGE pekee , hivyo ata Kusaga awe anaishi mawinguni kwasababu ni sehemu ya Management ya CMG basi taarifa alikuwa nayo na akakaa kimya kwa Zaidi ya miaka 2 akisikilizia kama vijana wa wasafi watadondoka , lakini aikutokea hivyo , sasa anawajibika kujibu swali hili , kama ataki basi waendelee na msimamo wao wa kutokupiga hizo nyimbo , kwa maana wasafi bila Clouds inawezekanaUsikatae kabla Ruge hajafariki mda mwingi alikuwa akiishi Dubai Ruge ndo alikuwa master mind wa kila kitu pale Mjengoni
Sent using Jamii Forums mobile app
Naamini hivyoZikipatana zitakosa mashabiki, bifu lao ni la kuingiza Hela.
Tunaipata Mubashara DSTV (no 296) , wewe labda utakuwa unatumia ZUKUHuku kwetu sijaona mtu akiangalia wasafi TV..nyie mnaotazama mnakaa wapi hapa Dar??
we jamaa bana,Kusaga ni mtu wa musoma wapi wakati ni msambaa pure.Ile mutu ya Musoma akili mingi. Na ndiyo maana akamleta mtani mwenzake Ruge wafanye maajabu. Ni maujanja ya kibiashara tu.
Duh yaani wewe ndo upo off kabisa. Tatizo wewe umeanza kumjua kupitia Clouds.we jamaa bana,Kusaga ni mtu wa musoma wapi wakati ni msambaa pure.
Kumbe watu wa Buza mnaangalia DSTV???1997 wakati inaingia Bongo tulikuwa matajiri tu ndio tunaangaliaTunaipata Mubashara DSTV (no 296) , wewe labda utakuwa unatumia ZUKU
Hizo 45% zimejumlisha na hilo nenoMana ana neno WASAFI +hisa 45%
Hapana ni vitu viwili vinavyojitegemea.Hizo 45% zimejumlisha na hilo neno
Alishafanya hiyo interview,nilimsikiliza sana. Mbona ile interview yeye kaonyesha wazi hana share pale,isipokuwa ksbb ya ukongwe wake kwenye hiyo tasnia huwa anawapa tu ushauri.innocent dependent, Mzee anatembelea ofisi yake nyingine leo siyo??
Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo yanabadilika braza , mimi wa kishua kitambo hizi DSTV toka 1999 Man utd akimuua Bayern ipo ndaniKumbe watu wa Buza mnaangalia DSTV???1997 wakati inaingia Bongo tulikuwa matajiri tu ndio tunaangalia
huyo hamjui Diallo atakuwa anasimuliwa, Sahara Media ukienda pale Ilemela pamebaki kama makumbusho yale makontena ndani kama walishahama kumbe ofisi zipoDiallo huyu anayedaiwa na wafanyakazi wake hadi wanakesha nje zaidi ya mwezi mzima??
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe jamaa umenichekesha kwelikweli aiseeMkuu kwako wapi nije niangalie, maana mpaka mwaka unaisha sina ninacho kimiliki zaidi ya account ya JF pekee[emoji16][emoji16]
Ni kweli hana share ila mkewe ana share 53%Alishafanya hiyo interview,nilimsikiliza sana. Mbona ile interview yeye kaonyesha wazi hana share pale,isipokuwa ksbb ya ukongwe wake kwenye hiyo tasnia huwa anawapa tu ushauri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao ulio wataja hapo sidhani kama ni mfano sahihi...Hebu tumia kichwa kufikiri kabla kuandika hapa,inamaans hujui kama jide mwaka huu katoa nyimbo mpya?hujui kama dudu baya anangoms kadhaa mpya ikiwemo ile ya konki aliyomshirikisha rayvanny?Je zimepigwa lini clouds?Haters mmefeli kumwangusha diamond ndio maana mmetumia ule msemo wa. Ifu can't fight them join them,ila Kwa bahati mbaya mmefeli tena maana hamuaminiki tenaa
Sk nafikiri na yeye ana feli sehemu...Na salaam ndo kamfikisha hapo alipo...
kuna mtu wa musoma anayeitwa "kusaga"?Duh yaani wewe ndo upo off kabisa. Tatizo wewe umeanza kumjua kupitia Clouds.