Kusaidia watu wasiokusaidia

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
27,031
Reaction score
49,928
Hivi ulishawai kukutokea unakuta Una huruma flani ukiwa nacho Una support wengine .ila siku wewe ukikwama hakuna WA kukusaidia?
Ila ya Mungu mengi unapita kwenye hiyo shida ukipata tena bado unasaidia wala hukomi?
Mungu anifanyie Tu wepesi mwenzenu niombeeni jamani
 
pole toto!
 
Kuna mtu nilishawahi kumsikia akisema. "If greed yo are not born with them, yo cannot" ila nahisi kuna ukweli.
 
Jifunze kuwa na roho mbaya kipenzi,Narudia tena jifunze 🤨
 
Ukitoa msaada afu ukasubiri kusaidiwa, hapo tayari ushafeli.

Utapata sonona Bure,
Kama mbwai iwe mbwai,
Kila mmoja aubebe msalaba wake.
Sio kwamba unatoa ili baadae usaidiwe ila inatokea nawe umekwama na unajua katı ya wale niliowasaidia kuna fulani au wote wanaweza kunisaidia kutatua shida yangu kama si yote ila kwa kiasi fulani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…