msapinungu
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 839
- 692
Tenda wema uende zako usingoje shukurani! Kamsemo kagumu sana haka maana nawakumbuka wale wakoma kumi walioponywa na Bwana Yesu na mmoja kurudi kushukuru na Bwana Yesu akauliza wako wapi wale tisa?Hivi ulishawai kukutokea unakuta Una huruma flani ukiwa nacho Una support wengine .ila siku wewe ukikwama hakuna WA kukusaidia?
Ila ya Mungu mengi unapita kwenye hiyo shida ukipata tena bado unasaidia wala hukomi?
Mungu anifanyie Tu wepesi mwenzenu niombeeni jamani