Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HatariBinadamu washakua WA hovyo Sana,
Juzi TU hapa jf Kuna member alilia anatafuta ajira angalau apeleke mkono kinywani.
Member mwenzetu kajitolea kumuajiri kwny mpesa, matokeo yake kamuibia Hadi mtaji na katokomea.
Hivi ubinadamu uko wapi?
Hivi Moyo WA kusaidia siku nyingn utakuepo?
Kiukweli Kuna vitu ukiwaza, Ni Bora TU uishi kivyako vyako, ukibanwa utapambana kivyako.
Nimefurahi sana kukuona tena hapa aiseeee, Miss Natafuta.Hivi ulishawai kukutokea unakuta Una huruma flani ukiwa nacho Una support wengine .ila siku wewe ukikwama hakuna WA kukusaidia?
Ila ya Mungu mengi unapita kwenye hiyo shida ukipata tena bado unasaidia wala hukomi?
Mungu anifanyie Tu wepesi mwenzenu niombeeni jamani
Mbona nipo Sana mkuu.heri ya mwaka mpyaNimefurahi sana kukuona tena hapa aiseeee, Miss Natafuta.
Nsaidie laki hapo broSifanyi ili nilipwe mkuu .na ndo maana sikomi
Safi sana kaka.....ila mie sahv kwenye sarafu zangu sicheki na wowote.Ukipata nafasi ya kumsaidia mtu na uwezo unao hakikisha unamsaidia.
Na hakikisha unasaidia mtu ambaye hana cha kukulipa.
Juzi nimetoa elfu 10K kumsaidia Kijana kulipia mambo ya mtihani wa form four Ila jana nimepata dili la mil 14 ambalo faida yake ni million nane
Mimi naweza kushindwa kumsaidia ndugu Ila watu lazima niwasaidie na sihitaji wanilipe chochote.
Kuhusu Mimi kukwama , Mimi huwa nina marafiki ambao tayari kwao pesa sio tatizo so nikihitaji hela za kukopa naenda naomba Ila Mimi nakopa bank Sana Sana ili niendeshe Biashara.
Hivyo Mkuu Usiogope kusaidia Ila ujue kanuni msaidie msaidie ambaye hana uwezo wa kukusaidia .
Usimpe MTU msaada ili uje umuombe kanuni zinakataa. Wala baraka hazitokuja.
Kuwa mtoaji utapata Sana na usitoe unanungunika.