msapinungu
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 839
- 692
Tenda wema uende zako usingoje shukurani! Kamsemo kagumu sana haka maana nawakumbuka wale wakoma kumi walioponywa na Bwana Yesu na mmoja kurudi kushukuru na Bwana Yesu akauliza wako wapi wale tisa?Hivi ulishawai kukutokea unakuta Una huruma flani ukiwa nacho Una support wengine .ila siku wewe ukikwama hakuna WA kukusaidia?
Ila ya Mungu mengi unapita kwenye hiyo shida ukipata tena bado unasaidia wala hukomi?
Mungu anifanyie Tu wepesi mwenzenu niombeeni jamani
Tena hao wa shida humu nasema watu wasisubutu wengi wao hawana shukrani na ni matapeli,Nakumbuka niliwahi msaidia kijana mmoja humu baadhi ya vitu vya kuanzia maisha maana alifika dar akidai hana uhusiano mzuri na ndugu zake matokeo yake hata ile asante alitokomea akajua nitamdai 😁😁Binadamu washakua WA hovyo Sana,
Juzi TU hapa jf Kuna member alilia anatafuta ajira angalau apeleke mkono kinywani.
Member mwenzetu kajitolea kumuajiri kwny mpesa, matokeo yake kamuibia Hadi mtaji na katokomea.
Hivi ubinadamu uko wapi?
Hivi Moyo WA kusaidia siku nyingn utakuepo?
Kiukweli Kuna vitu ukiwaza, Ni Bora TU uishi kivyako vyako, ukibanwa utapambana kivyako.
Dada angu, jitahidi usiwe mwema Sana, binadamu hawana kumbukumbu.Sio kwamba unatoa ili baadae usaidiwe ila inatokea nawe umekwama na unajua katı ya wale niliowasaidia kuna fulani au wote wanaweza kunisaidia kutatua shida yangu kama si yote ila kwa kiasi fulani.
Sifanyi ili nilipwe mkuu .na ndo maana sikomi
Vilio Ni vingi Sana dada angu hasa Kwa waliojitolea kusaidia watu humu,Tena hao wa shida humu nasema watu wasisubutu wengi wao hawana shukrani na ni matapeli,Nakumbuka niliwahi msaidia kijana mmoja humu baadhi ya vitu vya kuanzia maisha maana alifika dar akidai hana uhusiano mzuri na ndugu zake matokeo yake hata ile asante alitokomea akajua nitamdai 😁😁
Asante mkuu hii kauli mara kwa mara Mama yangu aliwahi kunambia ila nilikuwa kichwa ngumu ila kwa sasa nimejifunza.Dada angu, jitahidi usiwe mwema Sana, binadamu hawana kumbukumbu.
Mimi humu sitajaribu tena kusaidia mtu nashukuru yule kijana alilala dukani kwangu week ila kutokana na mazingira ya pale ya ulinzi asingeweza toka na kitu chochote baadae ndipo nilipo msaidia vitu vya kuanzia maisha huko kimara.Na I’d yake kaitelekeza 😁😁😁Vilio Ni vingi Sana dada angu hasa Kwa waliojitolea kusaidia watu humu,
Mwingine Ni Binti kabisa,kadai maisha magumu apate ata Kazi ambayo mshahara Ni chakula.
Kapelekwa kimara Suka akafanye Kazi za ndani, siku ya pili maboss wake wamemwachia nyumba wameenda kazini, Binti kaita kenta kafagia Kila kitu ndani.
Majirani wakajua wanahama, kumbe Binti kapora asset zote za ndani na katokomea nazo.
Na walivyo WA hovyo, wakishapiga tukio humu na kelele zikawa nyingi, hizo I'd zinatelekezwa mazima.
Daah mtu wa huku jf ?? Aisee kuna mazito humu eehVilio Ni vingi Sana dada angu hasa Kwa waliojitolea kusaidia watu humu,
Mwingine Ni Binti kabisa,kadai maisha magumu apate ata Kazi ambayo mshahara Ni chakula.
Kapelekwa kimara Suka akafanye Kazi za ndani, siku ya pili maboss wake wamemwachia nyumba wameenda kazini, Binti kaita kenta kafagia Kila kitu ndani.
Majirani wakajua wanahama, kumbe Binti kapora asset zote za ndani na katokomea nazo.
Na walivyo WA hovyo, wakishapiga tukio humu na kelele zikawa nyingi, hizo I'd zinatelekezwa mazima.
Kweli yaani .hakuna anaetaka kulipwa .ila binadamu kusitiriana jamaniSio kwamba unatoa ili baadae usaidiwe ila inatokea nawe umekwama na unajua katı ya wale niliowasaidia kuna fulani au wote wanaweza kunisaidia kutatua shida yangu kama si yote ila kwa kiasi fulani.
Sawa mkuuBadilika haraka
Na pesa yako unaona inakaaTupo wengi .nimedelete wote
HaswaaNa pesa yako unaona inakaa
Mimi nimeamua sitaki rafiki na kumsaidia mtu ni Mama yangu pekee.Haswaa
Mimi sina kabisaa!Mimi nimeamua sitaki rafiki na kumsaidia mtu ni Mama yangu pekee.
Maana tunachukulina poa au sisi wengine ni mabilionea hatuna shida na hatupaswi kusaidiwa 😁Mimi sina kabisaa!
Umewahi kuisikia Hospitali ya Mirembe Dodoma?Hivi ulishawai kukutokea unakuta Una huruma flani ukiwa nacho Una support wengine .ila siku wewe ukikwama hakuna WA kukusaidia?
Ila ya Mungu mengi unapita kwenye hiyo shida ukipata tena bado unasaidia wala hukomi?
Mungu anifanyie Tu wepesi mwenzenu niombeeni jamani