TUNA CONSULTANCY CO. YETU TUNADEAL NA MAMBO HAYO PIA. UKITAKA NA UKATUPA KAZI HIYO TUNAKUFANYIA WEWE UNASUBITI CHETI CHA USAJILI WAKO. MTAJI WA KWANZA NI HELA YA ZOEZI LA USAJILI,, KWA KAMPUNI YENYE MTAJI 5M ANDAA KAMA 650,000. THEN MTAJI WAKO WA KUANZIA KAZI ZAKO;OFISI, VIFAA, nk itategemea nature ya shughuli zako!
Contact us 0754734009
kampuni inaitwaje?

Huyu bwana anaeomba msaada wako kama wiki hii amekuwa msaada sana kwa wanajamvi waliokuwa wanataka msaada wa kufanya biashara kupitia mawakala wa usafirishaji bidhaa nje ya nchi bila kuchaji wala kuweka condition kama yako! naamini ungekuwa ww tucngejua chochote coz umetanguliza fedha mbele zaidi hope hata kampuni yako c imara mkuu! sorry hapa ni ufafanuzi zaidi anataka huyu mkuu.

Sawa mkuu: atafute jina atume BRELA, likisajiliwa aandae memorandum &article of association ipitishwe na Mwanasheria, ipelekwe BRELA isajiliwe. kila hatua ina gharama yake.
Kwa ufupi tu.
Watu bwana msipende kuwatisha wenzenu chamsingi ni kumwelezea mwenzio ukiwa katika hali ta uturivu kw mpangilio ili aweze kukuelewa zaidi.
Huyu bwana anaeomba msaada wako kama wiki hii amekuwa msaada sana kwa wanajamvi waliokuwa wanataka msaada wa kufanya biashara kupitia mawakala wa usafirishaji bidhaa nje ya nchi bila kuchaji wala kuweka condition kama yako! naamini ungekuwa ww tucngejua chochote coz umetanguliza fedha mbele zaidi hope hata kampuni yako c imara mkuu! sorry hapa ni ufafanuzi zaidi anataka huyu mkuu.
Sawa mkuu: atafute jina atume BRELA, likisajiliwa aandae memorandum &article of association ipitishwe na Mwanasheria, ipelekwe BRELA isajiliwe. kila hatua ina gharama yake.
Kwa ufupi tu.
KUANDIKISHA BIASHARA
Kabla ya kuanza biashara, sharti isajiliwe kwa
mujibu wa sheria za nchi.
Jina la Biashara
Biashara sharti iwe na jina na inaweza
kuandikishwa kama ya mtu mmoja, kampuni,
ushirika au ubia.
Kama biashara yako itakuwa ya mtu mmoja
(sole proprietorship) itakupasa kufuata
utaratibu huu:-
(1)Chagua jina la biashara (2) Andika barua
kwa Mkurugenzi wa BRELA ukiomba
kuangaliziwa jina ulilochagua kama halijasajili
na mwingine (kwa sasa unaweza kuangalia
mwenyewe kutoka tovuti: BRELA),
(3) Baada ya jina kupita jaza fomu nambari 2
na 3 ambazo unaweza kuzipata toka tovuti ya
BRELA (4) Lipia ada ya usajili ya Sh. 6,000/=
(5) wasilisha fomu na baada ya siku chache
utapatiwa hati ya usajili.
Kama unataka kusajili kampuni yenye ukomo
(Limited Liability) itakulazimu kuzingatia
yafuatayo:-
(1)Kampuni lazima iwe na watu si chini ya 2 na
wasizidi 50 (2) hakikisha jina la kampuni
utakalopendekeza liwe halijawahi kutumika
katika tovuti ya BRELA: BRELA (3)
Andaa hati ya makubaliano (MEMARTs) (4)
Jaza fomu nambari 14a na 14b (5)hakikisha
MEMARTs na fomu 14b zimesainiwa na wakili
au mwanasheria (6)Lipia gharama za usajili
kulingana na mtaji unaoanza nao, (7) wasilisha
maombi yako na hati ya usajili itatolewa baada
ya muda mfupi.
JISAJILI KAMA MLIPA KODI (TIN
NUMBER)
Mfanyabiashara pia anapaswa kujisajili
mamlaka ya kodi TRA. Ili kujisajili unapaswa
kuzingatia yafuatayo: (1) uwe na hati ya usajili
(2) uthibitisho wa eneo la biashara.
LESENI YA BIASHARA
Biashara zote lazima ziwe na leseni na vibali
maalum ambazo hutolewa na ofisi za biashara
za halmashauri ya Manispaa au Wilaya ya eneo
la biashara yako. Baada ya kupata leseni na
vibali toka maamlaka husika unaweza sasa
kuanza biashara yako.
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Nakushukuru sana mkuu!
Wew uko sawa kiongozi achana na uyo tapel anataka 650000 akachukue kwa mama yake.