Kusajili kampuni Brela hadi niwe na sh ngapi?

Konzogwe

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2008
Posts
434
Reaction score
156
Nataka kufungua kampuni yangu ya udalali (commission agency). Directors ni mimi na rafiki yangu. Sasa pamoja na gharama zote hadi kampuni inasajiliwa, ni lazima niwe na pesa za mtaji kwenye akaunti? Au hata kama sina pesa (mtaji) kampuni yaweza kusajiliwa?
Nisaidieni kujua.
 
TUNA CONSULTANCY CO. YETU TUNADEAL NA MAMBO HAYO PIA. UKITAKA NA UKATUPA KAZI HIYO TUNAKUFANYIA WEWE UNASUBITI CHETI CHA USAJILI WAKO. MTAJI WA KWANZA NI HELA YA ZOEZI LA USAJILI,, KWA KAMPUNI YENYE MTAJI 5M ANDAA KAMA 650,000. THEN MTAJI WAKO WA KUANZIA KAZI ZAKO;OFISI, VIFAA, nk itategemea nature ya shughuli zako!
Contact us 0754734009
 
kampuni inaitwaje?
 
Huyu bwana anaeomba msaada wako kama wiki hii amekuwa msaada sana kwa wanajamvi waliokuwa wanataka msaada wa kufanya biashara kupitia mawakala wa usafirishaji bidhaa nje ya nchi bila kuchaji wala kuweka condition kama yako! naamini ungekuwa ww tucngejua chochote coz umetanguliza fedha mbele zaidi hope hata kampuni yako c imara mkuu! sorry hapa ni ufafanuzi zaidi anataka huyu mkuu.
 
Hahahahaaaaaa!!!!
 
Sawa mkuu: atafute jina atume BRELA, likisajiliwa aandae memorandum &article of association ipitishwe na Mwanasheria, ipelekwe BRELA isajiliwe. kila hatua ina gharama yake.
Kwa ufupi tu.
 
Watu bwana msipende kuwatisha wenzenu chamsingi ni kumwelezea mwenzio ukiwa katika hali ta uturivu kw mpangilio ili aweze kukuelewa zaidi.
 
KUANDIKISHA BIASHARA
Kabla ya kuanza biashara, sharti isajiliwe kwa
mujibu wa sheria za nchi.
Jina la Biashara
Biashara sharti iwe na jina na inaweza
kuandikishwa kama ya mtu mmoja, kampuni,
ushirika au ubia.
Kama biashara yako itakuwa ya mtu mmoja
(sole proprietorship) itakupasa kufuata
utaratibu huu:-
(1)Chagua jina la biashara (2) Andika barua
kwa Mkurugenzi wa BRELA ukiomba
kuangaliziwa jina ulilochagua kama halijasajili
na mwingine (kwa sasa unaweza kuangalia
mwenyewe kutoka tovuti: www.brela-tz.org),
(3) Baada ya jina kupita jaza fomu nambari 2
na 3 ambazo unaweza kuzipata toka tovuti ya
BRELA (4) Lipia ada ya usajili ya Sh. 6,000/=
(5) wasilisha fomu na baada ya siku chache
utapatiwa hati ya usajili.
Kama unataka kusajili kampuni yenye ukomo
(Limited Liability) itakulazimu kuzingatia
yafuatayo:-
(1)Kampuni lazima iwe na watu si chini ya 2 na
wasizidi 50 (2) hakikisha jina la kampuni
utakalopendekeza liwe halijawahi kutumika
katika tovuti ya BRELA: www.brela-tz.org (3)
Andaa hati ya makubaliano (MEMARTs) (4)
Jaza fomu nambari 14a na 14b (5)hakikisha
MEMARTs na fomu 14b zimesainiwa na wakili
au mwanasheria (6)Lipia gharama za usajili
kulingana na mtaji unaoanza nao, (7) wasilisha
maombi yako na hati ya usajili itatolewa baada
ya muda mfupi.
JISAJILI KAMA MLIPA KODI (TIN
NUMBER)
Mfanyabiashara pia anapaswa kujisajili
mamlaka ya kodi – TRA. Ili kujisajili unapaswa
kuzingatia yafuatayo: (1) uwe na hati ya usajili
(2) uthibitisho wa eneo la biashara.
LESENI YA BIASHARA
Biashara zote lazima ziwe na leseni na vibali
maalum ambazo hutolewa na ofisi za biashara
za halmashauri ya Manispaa au Wilaya ya eneo
la biashara yako. Baada ya kupata leseni na
vibali toka maamlaka husika unaweza sasa
kuanza biashara yako.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Watu bwana msipende kuwatisha wenzenu chamsingi ni kumwelezea mwenzio ukiwa katika hali ta uturivu kw mpangilio ili aweze kukuelewa zaidi.

Mbona inaeleweka au ametishwaje? hizo ndizo hatua kwa ufupi, kama kuna shortcut ya kusajili kampuni mimi sijui, anayefahamu atushushie hapa. Ila akifuata hizo hatua wala si ngumu japo sio bure, lazima kuna direct and indirect cost!
 
Huyu bwana anaeomba msaada wako kama wiki hii amekuwa msaada sana kwa wanajamvi waliokuwa wanataka msaada wa kufanya biashara kupitia mawakala wa usafirishaji bidhaa nje ya nchi bila kuchaji wala kuweka condition kama yako! naamini ungekuwa ww tucngejua chochote coz umetanguliza fedha mbele zaidi hope hata kampuni yako c imara mkuu! sorry hapa ni ufafanuzi zaidi anataka huyu mkuu.

unataka kufanya biashara with zero cost!? jipange sawa sawa!
 
Sawa mkuu: atafute jina atume BRELA, likisajiliwa aandae memorandum &article of association ipitishwe na Mwanasheria, ipelekwe BRELA isajiliwe. kila hatua ina gharama yake.
Kwa ufupi tu.

Nakushukuru sana mkuu!
 
KUANDIKISHA BIASHARA
Kabla ya kuanza biashara, sharti isajiliwe kwa
mujibu wa sheria za nchi.
Jina la Biashara
Biashara sharti iwe na jina na inaweza
kuandikishwa kama ya mtu mmoja, kampuni,
ushirika au ubia.
Kama biashara yako itakuwa ya mtu mmoja
(sole proprietorship) itakupasa kufuata
utaratibu huu:-
(1)Chagua jina la biashara (2) Andika barua
kwa Mkurugenzi wa BRELA ukiomba
kuangaliziwa jina ulilochagua kama halijasajili
na mwingine (kwa sasa unaweza kuangalia
mwenyewe kutoka tovuti: BRELA),
(3) Baada ya jina kupita jaza fomu nambari 2
na 3 ambazo unaweza kuzipata toka tovuti ya
BRELA (4) Lipia ada ya usajili ya Sh. 6,000/=
(5) wasilisha fomu na baada ya siku chache
utapatiwa hati ya usajili.
Kama unataka kusajili kampuni yenye ukomo
(Limited Liability) itakulazimu kuzingatia
yafuatayo:-
(1)Kampuni lazima iwe na watu si chini ya 2 na
wasizidi 50 (2) hakikisha jina la kampuni
utakalopendekeza liwe halijawahi kutumika
katika tovuti ya BRELA: BRELA (3)
Andaa hati ya makubaliano (MEMARTs) (4)
Jaza fomu nambari 14a na 14b (5)hakikisha
MEMARTs na fomu 14b zimesainiwa na wakili
au mwanasheria (6)Lipia gharama za usajili
kulingana na mtaji unaoanza nao, (7) wasilisha
maombi yako na hati ya usajili itatolewa baada
ya muda mfupi.
JISAJILI KAMA MLIPA KODI (TIN
NUMBER)
Mfanyabiashara pia anapaswa kujisajili
mamlaka ya kodi – TRA. Ili kujisajili unapaswa
kuzingatia yafuatayo: (1) uwe na hati ya usajili
(2) uthibitisho wa eneo la biashara.
LESENI YA BIASHARA
Biashara zote lazima ziwe na leseni na vibali
maalum ambazo hutolewa na ofisi za biashara
za halmashauri ya Manispaa au Wilaya ya eneo
la biashara yako. Baada ya kupata leseni na
vibali toka maamlaka husika unaweza sasa
kuanza biashara yako.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

Nakushukuru sana mkuu!
 
Kaka kuna jamaa huku JF anaitwa Singo jaribu kumtafuta ni mtu smart sana katika kazi na bei zake ni nafuu na anafanya kazi on time.

Ameshanifanyia kazi yangu ya kufungua kampuni ikiwemo name search Brela,Memorandum baada ya 1week amenikabidhi Certificate of Incorporation.Gharama zake ni ndogo sanaa compare na wengi wa humu ndani.
 
mkuu umeeleweka 100%,asante kwani hiyo ni elimu ya bure bila malipo umeitoa hapo.
 
Wew uko sawa kiongozi achana na uyo tapel anataka 650000 akachukue kwa mama yake.

Huo si ustaarabu, pole sana!! nadhani humu JF mhusika ameshapata dondoo za kusajili kampuni yake, na ni lazima atagharamia tu. Kwani gharama kitu gani si anatengeneza chomba cha kufanyia kazi, ghrama atakazo kutana nazo ni shemeu ya biashara yake. Kama nimekosea kumtajia gharama za process nzima ya usajili, BASI tunaomba akishamaliza atuambie amesajili kwa sh. ngapi au kama ni bure pia tufahamu.
Asanteni
 
Back
Top Bottom