Kusajiliwa Feitoto Azam hakuwezi kuiimarisha Simba

utopolo og

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2022
Posts
575
Reaction score
1,575
Nimeshangazwa sana na wanazi wa Simba kufurahia sana habari za usajili wa kiungo fundi Feisal Salum kwenda Azam. Japo habari hizi bado hazijawa rasmi, ila zimepeleka furaha sana kwa hawa ndugu zetu wa pale kariakoo...

Niwakumbushe tu Azam ni washindani wa Simba kwenye mbio za ubingwa wa ligi kuu ya Nbc kwaio kufurahia mshindani wako kuboresha kikosi chake wakati wewe unakikosi cha kuungaunga ni uzwazwa wa Hali ya juu.
 
Muwe munalipa kamshahara kazuri basi... mchezaji mwenye thamani ya bilioni moja analipwa hela ya rambirambi?
 
Akienda azam tunachoshangilia ni kwamba Ile migoal ya beauty beauty na nyie atawakanda nayo
 
Nasema hivii

Hakuna taarifa nzuri kama kusikia "mwizi wa mkeo kupata ajali ya bodaboda" 😂 Hakuna taarifa nzuri kama kusikia "mwizi wa mkeo kupata ajali ya bodaboda" 😂
 
Nasema hivii

Hakuna taarifa nzuri kama kusikia "mwizi wa mkeo kupata ajali ya bodaboda" [emoji23] Hakuna taarifa nzuri kama kusikia "mwizi wa mkeo kupata ajali ya bodaboda" [emoji23]
Kwaio mkuu unatamani Yanga ife kabisaa??
Mbona sisi tunataka kuwachangia mchango mnunue bus la maana muachane na mambo ya coaster kumbe wenzetu hamtutakii heri kabisaa
 
Uzuri Azam wanacheza mpira hata wakituzidi hawana baya.

Utopolo mnacheza sana mpira nje ya uwanja.

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Kifupi ni kwamba FURAHA YANGU NI KUONA UMBWA WA UTOPOLO WANAKOSA RAHA,AMANI,....YAANI MUDA WOTE WAWE NA MISUKOSUKO TU...LIKITOKA HILI LIJE LA MVUA NA MASIKA HAYA INYESHEEEEEEEEEE SIKU 7 MFULULIZO MAFURIKO YAZAMISHE KILE KIJENGO CHAO PALE JANGWANI,
 
Kifupi ni kwamba FURAHA YANGU NI KUONA UMBWA WA UTOPOLO WANAKOSA RAHA,AMANI,....YAANI MUDA WOTE WAWE NA MISUKOSUKO TU...LIKITOKA HILI LIJE LA MVUA NA MASIKA HAYA INYESHEEEEEEEEEE SIKU 7 MFULULIZO MAFURIKO YAZAMISHE KILE KIJENGO CHAO PALE JANGWANI,
Mateso Yako pale pale.... Kiufupi mwaka jana ilikuwa ni mwanzo wa miaka mingi ya mateso kwenu ...
Makombe mtayasikia tu redioni
Nakukumbusha tu msimamo upo hivi[emoji116]
 
Mashabiki wa simba wanashangaza sana! Labda wanafikiri Fei Toto ni kama yule mchezaji wao Clotus Chama. Maana asipokuwepo tu uwanjani, timu inafanya vibaya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…