utopolo og
JF-Expert Member
- Nov 29, 2022
- 575
- 1,575
Nimeshangazwa sana na wanazi wa Simba kufurahia sana habari za usajili wa kiungo fundi Feisal Salum kwenda Azam. Japo habari hizi bado hazijawa rasmi, ila zimepeleka furaha sana kwa hawa ndugu zetu wa pale kariakoo...
Niwakumbushe tu Azam ni washindani wa Simba kwenye mbio za ubingwa wa ligi kuu ya Nbc kwaio kufurahia mshindani wako kuboresha kikosi chake wakati wewe unakikosi cha kuungaunga ni uzwazwa wa Hali ya juu.