Kusajiliwa Feitoto Azam hakuwezi kuiimarisha Simba

Kusajiliwa Feitoto Azam hakuwezi kuiimarisha Simba

Mashabiki wa simba wanashangaza sana! Labda wanafikiri Fei Toto ni kama yule mchezaji wao Clotus Chama. Maana asipokuwepo tu uwanjani, timu inafanya vibaya!
Sisi furaha yetu nyinyi mkiwa mnapata tabu kama hivi mnavyolialia.........sikukuu ipite mkiwa mna hali mbaya

Fei aondoke
Mfungwe na azam kesho ,fei akiwa jukwaani anawacheka

Mpira ukiisha mvua iwanyeshee mlowane kama kuku[emoji1787] na vile mnavyopenda kutembea kwa miguu baada ya mechi pale taifa hahahaha yaani mmalize mwaka kwa karaha.

Sisi huku burudaaaaaaaaaaaaaaaaan
 
Kwa mwendo huu wa Azam, Simba hana chake nafasi ya pili, nawaona wakishika nafsi ya tatu au nne kwenye ligi

[emoji23][emoji23][emoji23]bila feisal mna uhakika mtashinda mechi zote zilizobaki??hapa sasa ndo tutaanza kuona feisal na mayele nani bora?? Tunaanzia kesho
 
Nimeshangazwa sana na wanazi wa Simba kufurahia sana habari za usajili wa kiungo fundi Feisal Salum kwenda Azam. Japo habari hizi bado hazijawa rasmi, ila zimepeleka furaha sana kwa hawa ndugu zetu wa pale kariakoo...

Niwakumbushe tu Azam ni washindani wa Simba kwenye mbio za ubingwa wa ligi kuu ya Nbc kwaio kufurahia mshindani wako kuboresha kikosi chake wakati wewe unakikosi cha kuungaunga ni uzwazwa wa Hali ya juu.
[/QUOTEpunguza makasiriko
 
Niwakumbushe tu Azam ni washindani wa Simba kwenye mbio za ubingwa wa ligi kuu ya Nbc kwaio kufurahia mshindani wako kuboresha kikosi chake wakati wewe unakikosi cha kuungaunga ni uzwazwa wa Hali ya juu.
kumbuka Azam ni Simba pia 😄
 
Back
Top Bottom