DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,983
- 11,857
Sisi furaha yetu nyinyi mkiwa mnapata tabu kama hivi mnavyolialia.........sikukuu ipite mkiwa mna hali mbayaMashabiki wa simba wanashangaza sana! Labda wanafikiri Fei Toto ni kama yule mchezaji wao Clotus Chama. Maana asipokuwepo tu uwanjani, timu inafanya vibaya!
Fei aondoke
Mfungwe na azam kesho ,fei akiwa jukwaani anawacheka
Mpira ukiisha mvua iwanyeshee mlowane kama kuku[emoji1787] na vile mnavyopenda kutembea kwa miguu baada ya mechi pale taifa hahahaha yaani mmalize mwaka kwa karaha.
Sisi huku burudaaaaaaaaaaaaaaaaan