Sisi furaha yetu nyinyi mkiwa mnapata tabu kama hivi mnavyolialia.........sikukuu ipite mkiwa mna hali mbayaMashabiki wa simba wanashangaza sana! Labda wanafikiri Fei Toto ni kama yule mchezaji wao Clotus Chama. Maana asipokuwepo tu uwanjani, timu inafanya vibaya!
Sema azam mkuu sio Yanga bwana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kumbe mnakubali Yanga ina watu wa kazi....
Kwa mwendo huu wa Azam, Simba hana chake nafasi ya pili, nawaona wakishika nafsi ya tatu au nne kwenye ligi
Akili za Uto ni majanga matupu mkuu. Shangaa na wewe. Jamaa hawataki tufurahie kufanikiwa kwa Fei Toto kimaisha
Nimeshangazwa sana na wanazi wa Simba kufurahia sana habari za usajili wa kiungo fundi Feisal Salum kwenda Azam. Japo habari hizi bado hazijawa rasmi, ila zimepeleka furaha sana kwa hawa ndugu zetu wa pale kariakoo...
Niwakumbushe tu Azam ni washindani wa Simba kwenye mbio za ubingwa wa ligi kuu ya Nbc kwaio kufurahia mshindani wako kuboresha kikosi chake wakati wewe unakikosi cha kuungaunga ni uzwazwa wa Hali ya juu.
[/QUOTEpunguza makasiriko
kumbuka Azam ni Simba pia 😄Niwakumbushe tu Azam ni washindani wa Simba kwenye mbio za ubingwa wa ligi kuu ya Nbc kwaio kufurahia mshindani wako kuboresha kikosi chake wakati wewe unakikosi cha kuungaunga ni uzwazwa wa Hali ya juu.