Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Unajuwa hawa ma slay queen wanaovaa chupi mara moja kisha huitupa kwasababu hawawezi kufua, mimi huwa Naona wanaishi maisha feki sana kiasi kwamba ukisha gonga hutamani tena kukanyaga. Leo siwaongelei hawa, nawaongelea wale wenye wapenzi genuine.
Wapenzi mnapo omba kwa pamoja uwezo wa Nguni za Mungu hujidhihirisha kwa haraka sana na Mungu hujibu mapema sana.
Unapomuombea mpenzi wako mnapokuwa mbali, huongeza sana uaminifu na kuimarisha penzi lenu.
Je mpenzi wako huwa anakuombea? Je huwa unamuombea mpenzi wako? Je huwa mnaomba pamoja?
Ni ombi langu kwako uanze kumuombea Baraka kubwa kubwa mpenzi wako, utauona ukuu wa Mungu