Kusali pamoja huongeza upendo, kumuombea mpenzi wako huongeza uaminifu

Wee jamaa weee unajua kunichekesha. Suruali za Mc Hammer zilikuwa na miguu mitatu

View attachment 2073183
Ukivaa hivi mkeo atafurahi sana maana utakuwa umemfunika kabisa Koffi Olomide
Kwa tuliozoea kuvaa hizo pigo tutaweza kweli kutupia tule tu-suruali twembamba na tunabana kama umefunga kibwebwe?😂😂😂
 
Kwa tuliozoea kuvaa hizo pigo tutaweza kweli kutupia tule tu-suruali twembamba na tunabana kama umefunga kibwebwe?😂😂😂
Wife aliniletea suti, eti kashona kwa Sheria Ngowi, kasuti kanabana halafu ni kanjiwa kama suruali ya mujahidina, nikamuuliza hivi ulichukua vipimo vyangu au vya mtoto wetu
 
Wife aliniletea suti, eti kashona kwa Sheria Ngowi, kasuti kanabana halafu ni kanjiwa kama suruali ya mujahidina, nikamuuliza hivi ulichukua vipimo vyangu au vya mtoto wetu
Alikushoneshea "don't touch my ugoko"!?Hizo fasheni zimenishinda.Zile za MC Hummer nazipunguza kidogo halafu nadunda nazo.Maombi yaendelee!
 
Bujibuji Simba Nyanaume umeibiwa Id au? si kwa mipoint hii.
 
Amen

Asanteee kwa neno zuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…