Kusambaa kwa Vinywaji Chonganishi na Vivuto pia. Serikali iingilie kati

Gobole Lenye Risasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
11,519
Reaction score
23,693
Kumekuwa na mlundikano wa vinywaji chonganishi au vinywaji vikali vya bei pwaaaa. Kwa wao wanaita visungura na vibom. NAITA VINYWAJI CHONGANISHI KWA KUWA MARA NYINGI VIMEKUWA VIKICHONGANISHA WANYWAJI NA WASIO NA PIA WANYWAJI NA SERIKALI. HAVILETI AMANI KWA WATUMIAJI.

Lakini pia kumekuwa na msambao mshazali wa vivuto (vitu vinavyovutwa mfano sigara, unga na bhangi) setikali iingilie kati. Huku mtaani mambo si mambo. Mambo yamezua jambo. Watu wanabembea mchana wa jua kali hali zao cheche.
 
Serikali inayojali kukusanya kodi bila kuangalia athari za afya ya raia wake,,
 
Kumekuwa na mlundikano wa vinywaji chonganishi au vinywaji vikali vya bei pwaaaa. Kwa wao wanaita visungura na vibom. NAITA VINYWAJI CHONGANISHI KWA KUWA MARA NYINGI VIMEKUWA VIKICHONGANISHA WANYWAJI NA WASIO NA PIA WANYWAJI NA SERIKALI. HAVILETI AMANI KWA WATUMIAJI.

Lakini pia kumekuwa na msambao mshazali wa vivuto (vitu vinavyovutwa mfano sigara, unga na bhangi) setikali iingilie kati. Huku mtaani mambo si mambo. Mambo yamezua jambo. Watu wanabembea mchana wa jua kali hali zao cheche.
UNAMJUA TAJIRI TARIMO AU UNAHISI WANAOTENGENEZA HIVYO VINYWAJI WOTE MASIKINI?WANALIPA KODI WEWE HUJAWAHI KULIPA NA TCC IFUNGIE SIGARA FWATILIA MAPATO SEREKALI YANAYOPATA KWA HIO COMPANY NA POLICE WENGI NCHINI WANAISHI KWA KULIPISHA WAUZAJI NA WASAFIRISHAJI BANGI KODI... ELEWA KWANZA NCHI INALISHWAJE UMASIKINI TUMEJITAKIA KWA KUCHAGUA VIONGOZI WANAOJALI MATUMBO YAO NA FAMILIA ZAO
 
Mnavyolalamika Juu ya Pombe kuzagaa Binadamu analazimishwa Kunywa au Kuvuta?? Fahamu kwamba malezi yanaanzia nyumbani kmaa hujalelewa au hujitambui kwamba hivi vitu havifai acha wanaoitaji watumie ukimkuta mtoto wako anakunywa pombe kali utaisema serekali au utamkanya?
 
Kumekuwa na mlundikano wa vinywaji chonganishi au vinywaji vikali vya bei pwaaaa. Kwa wao wanaita visungura na vibom. NAITA VINYWAJI CHONGANISHI KWA KUWA MARA NYINGI VIMEKUWA VIKICHONGANISHA WANYWAJI NA WASIO NA PIA WANYWAJI NA SERIKALI. HAVILETI AMANI KWA WATUMIAJI.

Lakini pia kumekuwa na msambao mshazali wa vivuto (vitu vinavyovutwa mfano sigara, unga na bhangi) setikali iingilie kati. Huku mtaani mambo si mambo. Mambo yamezua jambo. Watu wanabembea mchana wa jua kali hali zao cheche.

Serikali inayoungwa mkono na Mashehena na mashehe ubwabwa ni serikalia ya ushetani na unyama mwingi .

Zamani kodi ilikua inaongezwa kwenye pombe lakini leo kodi inaongezwa kwenye vyakula na tozo kuu kila mahali mpaka kutuma pesa ya michango ya wagonjwa na misiba . Pombe zinashushwa kodi ili vijana walewe sana washindwe kufikiria masuala ya nchi yao
 
Kumekuwa na mlundikano wa vinywaji chonganishi au vinywaji vikali vya bei pwaaaa. Kwa wao wanaita visungura na vibom. NAITA VINYWAJI CHONGANISHI KWA KUWA MARA NYINGI VIMEKUWA VIKICHONGANISHA WANYWAJI NA WASIO NA PIA WANYWAJI NA SERIKALI. HAVILETI AMANI KWA WATUMIAJI.

Lakini pia kumekuwa na msambao mshazali wa vivuto (vitu vinavyovutwa mfano sigara, unga na bhangi) setikali iingilie kati. Huku mtaani mambo si mambo. Mambo yamezua jambo. Watu wanabembea mchana wa jua kali hali zao cheche.
Ndugu kwani home mateejoo au unga limitedi?
 
We jamaa jitahidi saanaa kufuatilia mambo yako.
Mkanisa yapo mengi sana uende ukasali huko sio kuanza kumdistabo my wetu.
 
Mnavyolalamika Juu ya Pombe kuzagaa Binadamu analazimishwa Kunywa au Kuvuta?? Fahamu kwamba malezi yanaanzia nyumbani kmaa hujalelewa au hujitambui kwamba hivi vitu havifai acha wanaoitaji watumie ukimkuta mtoto wako anakunywa pombe kali utaisema serekali au utamkanya?
Wapo waliolelewa vizur tu n wanatesek vip hao ndg?😂🤣😂🤣
 
Back
Top Bottom