Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
UNAMJUA TAJIRI TARIMO AU UNAHISI WANAOTENGENEZA HIVYO VINYWAJI WOTE MASIKINI?WANALIPA KODI WEWE HUJAWAHI KULIPA NA TCC IFUNGIE SIGARA FWATILIA MAPATO SEREKALI YANAYOPATA KWA HIO COMPANY NA POLICE WENGI NCHINI WANAISHI KWA KULIPISHA WAUZAJI NA WASAFIRISHAJI BANGI KODI... ELEWA KWANZA NCHI INALISHWAJE UMASIKINI TUMEJITAKIA KWA KUCHAGUA VIONGOZI WANAOJALI MATUMBO YAO NA FAMILIA ZAOKumekuwa na mlundikano wa vinywaji chonganishi au vinywaji vikali vya bei pwaaaa. Kwa wao wanaita visungura na vibom. NAITA VINYWAJI CHONGANISHI KWA KUWA MARA NYINGI VIMEKUWA VIKICHONGANISHA WANYWAJI NA WASIO NA PIA WANYWAJI NA SERIKALI. HAVILETI AMANI KWA WATUMIAJI.
Lakini pia kumekuwa na msambao mshazali wa vivuto (vitu vinavyovutwa mfano sigara, unga na bhangi) setikali iingilie kati. Huku mtaani mambo si mambo. Mambo yamezua jambo. Watu wanabembea mchana wa jua kali hali zao cheche.
Kumekuwa na mlundikano wa vinywaji chonganishi au vinywaji vikali vya bei pwaaaa. Kwa wao wanaita visungura na vibom. NAITA VINYWAJI CHONGANISHI KWA KUWA MARA NYINGI VIMEKUWA VIKICHONGANISHA WANYWAJI NA WASIO NA PIA WANYWAJI NA SERIKALI. HAVILETI AMANI KWA WATUMIAJI.
Lakini pia kumekuwa na msambao mshazali wa vivuto (vitu vinavyovutwa mfano sigara, unga na bhangi) setikali iingilie kati. Huku mtaani mambo si mambo. Mambo yamezua jambo. Watu wanabembea mchana wa jua kali hali zao cheche.
Ndugu kwani home mateejoo au unga limitedi?Kumekuwa na mlundikano wa vinywaji chonganishi au vinywaji vikali vya bei pwaaaa. Kwa wao wanaita visungura na vibom. NAITA VINYWAJI CHONGANISHI KWA KUWA MARA NYINGI VIMEKUWA VIKICHONGANISHA WANYWAJI NA WASIO NA PIA WANYWAJI NA SERIKALI. HAVILETI AMANI KWA WATUMIAJI.
Lakini pia kumekuwa na msambao mshazali wa vivuto (vitu vinavyovutwa mfano sigara, unga na bhangi) setikali iingilie kati. Huku mtaani mambo si mambo. Mambo yamezua jambo. Watu wanabembea mchana wa jua kali hali zao cheche.
Kwa ccm acha wakufe wote,ila wengine tuanzishe kampeni kuwanusuru.Pombe chafu zimezagaa mno , miaka ijayo swala la figo kufeli itakua ni tatizo la kawaida sana.
Hili utakuta ni liccm tena bwabwa, ***** na pungaWe jamaa jitahidi saanaa kufuatilia mambo yako.
Mkanisa yapo mengi sana uende ukasali huko sio kuanza kumdistabo my wetu.
Wapo waliolelewa vizur tu n wanatesek vip hao ndg?😂🤣😂🤣Mnavyolalamika Juu ya Pombe kuzagaa Binadamu analazimishwa Kunywa au Kuvuta?? Fahamu kwamba malezi yanaanzia nyumbani kmaa hujalelewa au hujitambui kwamba hivi vitu havifai acha wanaoitaji watumie ukimkuta mtoto wako anakunywa pombe kali utaisema serekali au utamkanya?