Kusema dunia itafika mwisho ni kama kusema Mungu kazi yake aliyoianzisha imemshinda

Kusema dunia itafika mwisho,ni kama kusema Mungu kazi yake aliyoianzisha imemshinda...

Ni sawa na kuanzisha biashara kisha ikakushinda na kufirisika...

Labda nyinyi binadamu,mnaojifikiria nyinyi tu... viumbe wabinafsi ndo mnaweza fika mwisho,ila inawezekana ndege wadudu na wanyama wakabakia...na dunia yao...

Eti DUNIA inafika MWISHO...???!!!!

Kwahiyo inafika mwisho baada ya wewe kupata nafasi ya KUIONA??

Unaijua ilipo ANZIA?...hadi ujue inapo ISHIA??

UBINAFSI ni kutamani dunia ifike mwisho,baada ya wewe kuzaliwa...

Kabla yako kulikua na VIZAZI na baada yako kutakua na VIZAZI..!!!

Biblia inasema miaka 1000 duniani ni sawa na siku moja mbinguni..

Kwa hesabu hizo inawezekana umeishi dakika moja tu duniani za Kimungu na kuona kama umeishiiii hadi kusema dunia imeisha...

Sasa fanya hivi malizia dakika zako...iache dunia kwa vizazi vijavyo acha ubinafsi...na uoga wa kufa...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sasa ni hivi fahamu kesho kuna dunia nzuri zaidi zaidi ya ile jana,zaidi ya ile yako

Kuna miundombinu na sayansi bora zaidi...

Dunia ya kesho ni nzuri yenye utendaji ulioboreshwa...

Magonjwa yatapata tiba,umri wa kuishi utaongezeka,

Watu watapaaa kwa vyombo mbalimbali bila kutembea ,watu watajua vitu kwa kujazwa fahamu kisayansi bila mateso ya kwenda kukalili mashule...watapata kila wanachotaka kwa ku-download kupitia sayansi na tekinolojia..

Pole kwa wewe unaye iacha dunia hivi karibuni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16]
Mwisho wa dunia ni mwisho wa maisha ya mtu binafsi, anapofariki.
 
Kusema dunia itafika mwisho, ni kama kusema Mungu kazi yake aliyoianzisha imemshinda.

Ni sawa na kuanzisha biashara kisha ikakushinda na kufirisika.

Labda nyinyi binadamu,mnaojifikiria nyinyi tu, viumbe wabinafsi ndo mnaweza fika mwisho,ila inawezekana ndege wadudu na wanyama wakabakia, na dunia yao.

Eti DUNIA inafika MWISHO?

Kwahiyo inafika mwisho baada ya wewe kupata nafasi ya KUIONA?

Unaijua ilipo ANZIA hadi ujue inapo ISHIA?

UBINAFSI ni kutamani dunia ifike mwisho, baada ya wewe kuzaliwa.

Kabla yako kulikua na VIZAZI na baada yako kutakua na VIZAZI.

Biblia inasema miaka 1000 duniani ni sawa na siku moja mbinguni.

Kwa hesabu hizo inawezekana umeishi dakika moja tu duniani za Kimungu na kuona kama umeishiiii hadi kusema dunia imeisha.

Sasa fanya hivi malizia dakika zako, iache dunia kwa vizazi vijavyo acha ubinafsi na uoga wa kufa emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sasa ni hivi fahamu kesho kuna dunia nzuri zaidi zaidi ya ile jana,zaidi ya ile yako.

Kuna miundombinu na sayansi bora zaidi.

Dunia ya kesho ni nzuri yenye utendaji ulioboreshwa.

Magonjwa yatapata tiba, umri wa kuishi utaongezeka.

Watu watapaaa kwa vyombo mbalimbali bila kutembea ,watu watajua vitu kwa kujazwa fahamu kisayansi bila mateso ya kwenda kukalili mashule watapata kila wanachotaka kwa ku-download kupitia sayansi na tekinolojia.

Ukili yako ndogo ingawa unajitia kujua mambo ya mungu pia unajitoa fahamu mpaka kufikia kusema heti Mungu kazi itakuwa imemshinda
 
Nani alikuambia Dunia itafikia mwisho 🙃. Biblia inazungumzia Mungu kuufikisha mwisho wa waovu. Zaburi 37:9,10&11
 
Dunia ni makazi ya mda mfupi ya mwanadamu na shetani ndo maana Kuna kufa
 
Nani alikuambia Dunia itafikia mwisho 🙃. Biblia inazungumzia Mungu kuufikisha mwisho wa waovu. Zaburi 37:9,10&11
Na kama hili likisemwa na kuwekwa wazi kama hivi litanyoosha kona na mikunjo mingi...

Asante...

Dunia yetu bado ipo ipo sana...
 
Kisha nikaona mbingu mpya na nchi mpya; kwa maana mbingu za kwanza na nchi ya kwanza zimekwisha kupita, wala hapana bahari tena.

Ufunuo wa Yohana 21:1
 
Kama vile mbingu mpya na nchi mpya, nitakazofanya, zitakavyokaa mbele zangu, asema Bwana, ndivyo uzao wenu na jina lenu litakavyokaa.

Isaya 66:22
Mwisho wa dunia ni mwisho wa maisha ya mtu binafsi, anapofariki.
 
Ukili yako ndogo ingawa unajitia kujua mambo ya mungu pia unajitoa fahamu mpaka kufikia kusema heti Mungu kazi itakuwa imemshinda
😊😂😂...wewe mwenye akili kubwa ulikua unasemaje?

Naomba hoja yako tafadhari!
 
Back
Top Bottom