Kusema dunia itafika mwisho ni kama kusema Mungu kazi yake aliyoianzisha imemshinda

Mwisho wa dunia ni mwisho wa maisha ya mtu binafsi, anapofariki.
 
Ukili yako ndogo ingawa unajitia kujua mambo ya mungu pia unajitoa fahamu mpaka kufikia kusema heti Mungu kazi itakuwa imemshinda
 
Nani alikuambia Dunia itafikia mwisho πŸ™ƒ. Biblia inazungumzia Mungu kuufikisha mwisho wa waovu. Zaburi 37:9,10&11
 
Dunia ni makazi ya mda mfupi ya mwanadamu na shetani ndo maana Kuna kufa
 
Nani alikuambia Dunia itafikia mwisho πŸ™ƒ. Biblia inazungumzia Mungu kuufikisha mwisho wa waovu. Zaburi 37:9,10&11
Na kama hili likisemwa na kuwekwa wazi kama hivi litanyoosha kona na mikunjo mingi...

Asante...

Dunia yetu bado ipo ipo sana...
 
Kisha nikaona mbingu mpya na nchi mpya; kwa maana mbingu za kwanza na nchi ya kwanza zimekwisha kupita, wala hapana bahari tena.

Ufunuo wa Yohana 21:1
 
Kama vile mbingu mpya na nchi mpya, nitakazofanya, zitakavyokaa mbele zangu, asema Bwana, ndivyo uzao wenu na jina lenu litakavyokaa.

Isaya 66:22
Mwisho wa dunia ni mwisho wa maisha ya mtu binafsi, anapofariki.
 
Ukili yako ndogo ingawa unajitia kujua mambo ya mungu pia unajitoa fahamu mpaka kufikia kusema heti Mungu kazi itakuwa imemshinda
πŸ˜ŠπŸ˜‚πŸ˜‚...wewe mwenye akili kubwa ulikua unasemaje?

Naomba hoja yako tafadhari!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…