Kusema hakuna mtu wa kuvaa viatu vya Urais baada ya Dkt. Magufuli ni kukosa akili

Katiba ya watanzania haiwezi ikachezewa kwa kubadilishwa kwa sababu ya Magufuli kutawala milele na milele, akili zako ulizozichezea na kuzibadilisha zinamtosha Magufuli kutawala kichwa chako milele na milele.
 
HaΙ—i Milele[emoji779][emoji779]
Ƙwa lipi ƴani[emoji780][emoji41]
 
Katiba ya watanzania haiwezi ikachezewa kwa kubadilishwa kwa sababu ya Magufuli kutawala milele na milele, akili zako ulizozichezea na kuzibadilisha zinamtosha Magufuli kutawala kichwa chako milele na milele.
Ameonyesha uthubutu
 
Kama amekataa kuiboresha katiba kwa nini unataka aiguse tu kwa ajili ya kujiongezea muda na siyo kwa maslahi ya wananchi??
Kama kweli ni mzalendo angeweka tume huru ya uchaguzi na kupitisha rasimu ya warioba kuwa katiba. Akitaka kuwa mzalendo wa kweli afanye hivyo vyote kabla ya muda wake wa miaka 5 ijayo! Utaona kila moja atampenda na kumsifu milele! Mzalendo hawezi kubadili katiba kwa maslahi yake!
 


πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wakija viongozi wabaya baada take itakuwaje tubadilishe tena!. Mungu tusaidie tunawatu watupu kweli
 
Hii thread hata mzee baba mwenyewe akiisoma lazima akasirishwe sana na huyu mataga mleta mada.
 
Hii nchi haijawahi kuisha mataahira..
 
Mie nakubaliana na hoja zako kasoro hoja ya kuwaacha wapinzani wafanye mikutano watakavyo bila urekebu tutashindwa kufanya kazi za maendeleo. Nchi zote duniani baada ya uchaguzi siasa huhamia bungeni nako lazima lugha ya stahi na hoja hushamiri badala ya matusi,dharau na upotoshaji. Twende na Demokrasia yenye Maadili tutaongeza kasi ya maendeleo.
 
Kwa kumalizia tu kwa kweli nchi ili iweze kufika mbali inahitaji kama mmepata
Kiongozi mzalendo na mleta maendeleo akae angalau miaka 20 asimamie na kukijenga hicho anachokifanya maana mfano jpm akiondoka 2025 atakuja mwingine na yake haya 2030 atakuja mwingine na yake yaani jenga bomoa jenga bomoa na ndo maana Africa haisongi mbele mauchaguzi kila siku na kila mtu anakuja na ajenda yake anaharibu ya yule aliyetangulia haiendelezwi

Sasa kwangu mimi nashauri katiba ingebadilishwa tu jpm atawale hata miaka 30 au hata 20 halat wabunge tuendelee kuchagua kama kawaida jpm ni mtu wa kipekee sana ukimuwaza hata katika ulimwengu wa roho na maombi ni mtu muhimu sana ni mtu ambaye hawezi akadanganyika katu alisaliti taifa lake ni mzalendo wa kweli anastahili atawale miaka hata 30 au hata milele[/QUOTE]

Shindwa pepo
 
Tuambie umri wako ili tukufundishe Historia.JPM ana uthubutu lakini yote unayoyaona na ukasema ni mema yamefanywa sana na waliotangulia.Nitajie umri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…