Kusema hakuna mtu wa kuvaa viatu vya Urais baada ya Dkt. Magufuli ni kukosa akili

Kwa staili hiyo Kuna watu tutakufa masikini
 
Mchukue akatawale familia yako na mume wako
 
Kama unampenda sana huyo mtu wako akatawale Familia yenu na sio TZ ,Katiba imeweka wazi ni miaka mi5 tu na kama akipita mara ya pili basi mwisho 10 , kama anaona haitoshi aende kwao kwa WAZIRANKENDE akaongoze MILELE.
 
Hivi kumbe Wapinzani hamna uhakika wa kuchukua nchi mwaka huu ili kumtoa Rais aliyeko madarakani naona mnajadili ukomo wa rais
 
Mtu mwenyewe wanaemsifia hana hata sifa ya kuwa mwenyekiti wa kijiji!

Tuwe wa wazi na wakweli jamani, hivi huyu Kiongozi ana nini cha maana zaidi ya kuongea ujinga, matusi, kufoka na misifa ya kijinga?
Duh.........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…