Kusema kweli Ada ya kufanyia miamala imepanda mara dufu

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,959
Reaction score
24,935
Ata kama tunataka kuwa na tanzania ya viwanda hii ni too much Ada imepanda sana kwenye miamala,

Siyo kwenye miamala ya Simu mpaka bank ada imepanda mara dufu,sijui kama watu wanaliona hili?

Leo hii ukitaka kutoa elfu 10 tu kwenye simu unatakiwa kuwa na zaidi ya 11500 ada ikiwa 1400 wakati mwaka jana tu hapo ada ilikuwa 1000 tu kwa hiyo hela imepanda 400 nzima, inaweza ikawa ndogo lakini ikikusanywa kwa watu zaidi ya milioni 20 kwa siku ni hela ndefu sijui kama mamlaka husika wanaona hii,

Kwa ada hii nafikiri kule bush kwa wazee inawatesa aswaa maana siyo kila mtu anao uwezo wa kutuma na hela ya kutolea.

CC Zero IQ
 
Mnyonge amebaki kukamuliwa tu huku rais hata halipi kodi yoyote

Serikali iko hoi mapato hakuna ndio maana unaona wachuuzi wanapewa vikadi kama vitambulisho visivyo na jina, eneo la makazi wala picha kwa elfu 20, wakati vile thamani yake ni elfu 3 tu.

Serikali ya wanyonge imeamua kuwakamua wanyonge hadi namba waisome
 
Kutuma pesa tu nayo ni matatizo, nimemtumia mtu wa Tigo from Vodacom wamenilima 1400! Nilishangaa kinoma wakati nilishazoeaga kumsogezea mtu hela ni tshs 300!
 
Ni wizi wa waziwazi. Wako huru sana. Wanajiamulia watakavyo. Hivi huko tcra hawqwaoni? Inabidi tuwe na chama cha walaji (watumiaji wa miamala ya CMU) kila wakitaka kupandisha ama mabadiliko lazima tukae nao waimishe uhalali wa kupandisha. Ulaya wameweza!
 
Hakika mkuu

CC Zero IQ
 
Wanatuibia sana haya mabenki na makapuni ya simu......Ukitaka kutoa 1m inakulazimu utoe laki 2 mara 5 na hapo wanalima kati ya 900 hadi 1000 kwa kila transaction kwa hiyo hpo unalimwa Buku 5 Nzima.
 
Mnyonge amebaki kukamuliwa tu huku rais hata halipi kodi yoyote

Serikali iko hoi mapato hakuna ndio maana unaona wachuuzi wanapewa vikadi kama vitambulisho visivyo na jina, eneo la makazi wala picha kwa elfu 20, wakati vile thamani yake ni elfu 3 tu.

Serikali ya wanyonge imeamua kuwakamua wanyonge hadi namba waisome
Mi nilikataa icho kitambulisho chao kwenye hii biashara yangu ya kiepe nikaona bora til number nilipe kodi ninayojua inakoenda kuliko elfu 20 yangu kwenda bure kwa wapigaji

CC Zero IQ
 
Hakika mkuu

CC Zero IQ
Na watumiaji wa CMU in kuanzia watu binafsi mmoja mmoja hadi makampuni. Sema bado tuko ulimwengu wetu wenyewe! Acha watunyonye tu. Na sio kampuni za CMU tu Bali kuna mabenk na riba zao, charge za ATM nazo kero, hawa wakopeshaji uchwara nao humo humo wana overcharge !! Tupo kimyaaa. Na serikali inachoangalia ni kodi!!! Sio huko tu hata gharama za daladala na mwendo kasi kwa DSM nako shida! Tunapigwa kila kona
 
Acha tu wanatunyonya kwa maneno ya Uzalendo

CC Zero IQ
 
Back
Top Bottom