Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,959
- 24,935
Ata kama tunataka kuwa na tanzania ya viwanda hii ni too much Ada imepanda sana kwenye miamala,
Siyo kwenye miamala ya Simu mpaka bank ada imepanda mara dufu,sijui kama watu wanaliona hili?
Leo hii ukitaka kutoa elfu 10 tu kwenye simu unatakiwa kuwa na zaidi ya 11500 ada ikiwa 1400 wakati mwaka jana tu hapo ada ilikuwa 1000 tu kwa hiyo hela imepanda 400 nzima, inaweza ikawa ndogo lakini ikikusanywa kwa watu zaidi ya milioni 20 kwa siku ni hela ndefu sijui kama mamlaka husika wanaona hii,
Kwa ada hii nafikiri kule bush kwa wazee inawatesa aswaa maana siyo kila mtu anao uwezo wa kutuma na hela ya kutolea.
CC Zero IQ