Hahhaaaaa na huyo wakala anakuruhusu asifanye biashara? Ila we umetisha aiseesiku hizi nikitaka kutoa pesa naenda kwa wakala kusubiria wateja wanaokuja kuweka pesa, nawatumia huku nikikatwa pesa kidogo huku wao wananipa cash.
Kutuma pesa tu nayo ni matatizo, nimemtumia mtu wa Tigo from Vodacom wamenilima 1400! Nilishangaa kinoma wakati nilishazoeaga kumsogezea mtu hela ni tshs 300!Ata kama tunataka kuwa na tanzania ya viwanda hii ni too much Ada imepanda sana kwenye miamala,
Siyo kwenye miamala ya Simu mpaka bank ada imepanda mara dufu,sijui kama watu wanaliona hili?
Leo hii ukitaka kutoa elfu 10 tu kwenye simu unatakiwa kuwa na zaidi ya 11500 ada ikiwa 1400 wakati mwaka jana tu hapo ada ilikuwa 1000 tu kwa hiyo hela imepanda 400 nzima, inaweza ikawa ndogo lakini ikikusanywa kwa watu zaidi ya milioni 20 kwa siku ni hela ndefu sijui kama mamlaka husika wanaona hii,
Kwa ada hii nafikiri kule bush kwa wazee inawatesa aswaa maana siyo kila mtu anao uwezo wa kutuma na hela ya kutolea.
CC Zero IQ
Ukiwa kwenye system ya vyoyozi na pesa kwenye account huku usafiri ni ndege ukishuka ni kwenye VX-V8 kuna maisha magumu kwani?Wanna nchi tunaumia sana sana.
Ila viongozi wetu hata hawalioni hili
kuporomoka kwa uchumiSijui wanatumia vigezo gani kupandisha hizo gharama.
Hakika mkuuNi wizi wa waziwazi. Wako huru sana. Wanajiamulia watakavyo. Hivi huko tcra hawqwaoni? Inabidi tuwe na chama cha walaji (watumiaji wa miamala ya CMU) kila wakitaka kupandisha ama mabadiliko lazima tukae nao waimishe uhalali wa kupandisha. Ulaya wameweza!
Mi nilikataa icho kitambulisho chao kwenye hii biashara yangu ya kiepe nikaona bora til number nilipe kodi ninayojua inakoenda kuliko elfu 20 yangu kwenda bure kwa wapigajiMnyonge amebaki kukamuliwa tu huku rais hata halipi kodi yoyote
Serikali iko hoi mapato hakuna ndio maana unaona wachuuzi wanapewa vikadi kama vitambulisho visivyo na jina, eneo la makazi wala picha kwa elfu 20, wakati vile thamani yake ni elfu 3 tu.
Serikali ya wanyonge imeamua kuwakamua wanyonge hadi namba waisome
Ugumu utoke wapi?Ukiwa kwenye system ya vyoyozi na pesa kwenye account huku usafiri ni ndege ukishuka ni kwenye VX-V8 kuna maisha magumu kwani?
Na watumiaji wa CMU in kuanzia watu binafsi mmoja mmoja hadi makampuni. Sema bado tuko ulimwengu wetu wenyewe! Acha watunyonye tu. Na sio kampuni za CMU tu Bali kuna mabenk na riba zao, charge za ATM nazo kero, hawa wakopeshaji uchwara nao humo humo wana overcharge !! Tupo kimyaaa. Na serikali inachoangalia ni kodi!!! Sio huko tu hata gharama za daladala na mwendo kasi kwa DSM nako shida! Tunapigwa kila konaHakika mkuu
CC Zero IQ
Ni vile tu hujapata nafasi na kauli za vijembe zitakutoka tu "Vijana mjiajiri" , "Watanzania wavivu sana", "Fanyeni kazi", "million 10 za mboga tu hizi"Ugumu utoke wapi?
Acha tu wanatunyonya kwa maneno ya UzalendoNa watumiaji wa CMU in kuanzia watu binafsi mmoja mmoja hadi makampuni. Sema bado tuko ulimwengu wetu wenyewe! Acha watunyonye tu. Na sio kampuni za CMU tu Bali kuna mabenk na riba zao, charge za ATM nazo kero, hawa wakopeshaji uchwara nao humo humo wana overcharge !! Tupo kimyaaa. Na serikali inachoangalia ni kodi!!! Sio huko tu hata gharama za daladala na mwendo kasi kwa DSM nako shida! Tunapigwa kila kona