Kuna Makampuni mengine yanahitaji fresh graduate na mengine graduate ambao wana uzoefu kazini.Sasa wewe ujiangalia uko upande gani.vijana wngu,nimesha tafuta vijana wa kazi TBS,kwa njia ya interview lakini wengi ni wenye first clas lakin wanakosa nafac,sababu ni kwamba pamoja na cheti,tunakuuliza maswali mengi sana,tunaangalia uvaaji wako,vyeti vyako vya nyuma na extra experience,so unakuta ni mzuri kimasomo lakini hana ujuzi mzuri wa kazi,sasa vijana jitahidini kufaham kila kitu na msaidiane sio kusemana,usimzarau ucyemjua.