Kusema kweli Mimi Sijui biashara za Mbowe anazosema zipo ndani na nje zaidi ya Bilcanas ya zamani. Anayejua atutajie

Kusema kweli Mimi Sijui biashara za Mbowe anazosema zipo ndani na nje zaidi ya Bilcanas ya zamani. Anayejua atutajie

Orodhesha biashara zilizoko DSE zinazomilikiwa na watu binafsi. DSE sidhani kama kuna kampuni zaidi ya 30. Mfano kampuni za simu ni ttcl na Vodacom pekee, mahotel hakuna hata moja. Acha ujuha. Lete hoja zenye mashiko
Kwa hiyo mbowe naye ni mchuuzi kama wengine wanauza nguo mtaani
 
Back
Top Bottom