Interested Observer
JF-Expert Member
- Mar 27, 2006
- 3,384
- 4,428
Kifo cha ghafla cha Sembuli kilihusishwa sana na Tabu Mangala-- ilikuwa TetesiSembuli umemkumbuksje hapa mkuu?
Hebu funguka.
Dah,Kifo cha ghafla cha Sembuli kilihusishwa sana na Tabu Mangala-- ilikuwa Tetesi
Kuanzia na sheria ya Kinga Kwa Rais na tafsiri zake ndio maana hakuna mahala unaweza mshitaki Rais
Mkuu Robert Heriel Mtibeli hii nchi ni ya Ajabu sana kuliko unavyofikiria. Kama unafiki ungekuwa ni nyeti tulizonazo basi leo hii kila mtu angekuwa anaziburuza chini kwa ukubwa angeokuwa nao π. Unafiki umeenea sana na shida kubwa ni mbili tu
1. Mazumbukuku yasiojielewa yanaenda wapi na yanataka nini kama taifa
2. Wapigania tumbo au Matumbo yao hata kama wanachokitetea ni Jambo la kustaajabisha
Kifupi kwa utafiti wangu nilioufanya na kwa kuzingatia research methodology nilizotumia hii nchi pamoja na rasilimali zote tulizonazo nazo basi tutaishia tu kuwa nchi ya kawaida sana na ama ikipendeza kuwa nchi masikini zaidi kutokana na uzumbukuku unaotukabili.
Nilitaka atumie akiri yake kwenye mambo simple kama haya....kama vip wote tuweza kuwa nchini tuweza kuwa raisiHii habari ni ya kweli, soma biography za Issa Shivji na wenzake za Nyerere.
Ujinga na upumbavu wa Nyerere uko wapi?
"Kukapata" maana yake nini?
Mambo straightforward yakoje?
Ulitaka Nyerere ataifishe maduka yote Tanzania?
HIi habari umeielewa muktadha wake hapa au unarukia tu?
Rais kama hawezi kushitakiwa mahakamani, anaweza kushitakiwa kwenye court of public opinion wananchi wakamuhukumu kwenye sanduku la kura.Mtu kutokushtakiwa haimaanishi akifanya Makosa basi hayo Makosa hajafanya.
Hiyo ni sheria ya hivyo, sheria ya upendeleo, sheria isiyojali Haki na Kweli
Wakati huo huo. Likitokea la kutokea a alaumiwe yeye na si washauri wake. Mfano kwa Idi Amin Dada alilaumiwa yeye si washauri wake . The same na Mobutu, Bokassa, Hitler, Nyerere Mugabe Smith n.k.Ma Rais dunia nzima wanategemea ushauri....hakunaga kitu kama Rais mwenye akili...na Rais asie na akili..
Akili ya ma Rais wote hutegemea advisors ndo maana wenzetu wameenda mbali Sana na kuweka washauri rasmi wa Rais Kwa kila kitu...kuanzia siasa Hadi Uchumi...washauri wanatangazwa wanajulikana na CV zao zimeshiba
Wamarekani wameenda mbali zaidi
Mfano kuna mshauri wa uchumi anaelipwa wa Rais. Halafu kuna mshauri wa uchumi anaelipwa wa Makamu wa Rais ...halafu kuna waziri WA fedha na yeye ana mshauri wa uchumi anaelipwa wa waziri WA fedha...bado kuna washauri Tele wa wizara wanalipwa, the list goes on..
So Kwa Wamarekani likija suala la uchumi mezani Kwa Rais ...unakuta kuna PhD kama 10 hivi zimechangia Hilo wazo.....na mapendekezo.
You are only smart if you surround yourself with people who are more smarter than you
Rais kama hawezi kushitakiwa mahakamani, anaweza kushitakiwa kwenye court of public opinion wananchi wakamuhukumu kwenye sanduku la kura.
Tatizo Samia kasema mkimpigia kura au msipompigia kura, yeye ana uhakika wa kushinda uchaguzi.
Ndio hajafanyaMtu kutokushtakiwa haimaanishi akifanya Makosa basi hayo Makosa hajafanya.
Hiyo ni sheria ya hivyo, sheria ya upendeleo, sheria isiyojali Haki na Kweli
Kwanza kabisa, nafikiri kwenye mambo ya kuendesha nchi Nyerere kakuzidi sana, hivyo wewe kumuita mjinga na mpumbavu sanasana inaonesha ujinga na upumbavu wako.Nilitaka atumie akiri yake kwenye mambo simple kama haya....kama vip wote tuweza kuwa nchini tuweza kuwa raisi
Ndio hajafanya
Asikosee kwani yeye ni Malaika??? πKama mzazi Hakosei tafsiri yake ni nini Mkuu?
Mimi sio chawa Wala sio mshabiki wa Vyama vyenu..ππ
Jizime Data.
Kuwa chawa haimaanishi uwe Chawa mjinga
Namba mbili na tatu ndo kazi Ya Rais wenu.Huyu mama anafanya kusudi akijua anao wajinga wengi wa kumtetea alafu anjificha kwenye kivuli cha udini...HafaiiiiiKwema Wakuu!
Hakuna Jambo ambalo linanikera kama kumsikia MTU akisema Rais anashauriwa vibaya na washauri wake. Watu wengi wanaosema hivyo ni Watu wasioweza kueleza mambo bayana. Ni Watu wakupindisha pindisha maneno. Wasioweza kutamka nyeusi ni nyeusi na nyeupe ni nyeupe.
Rais kama kakosea sema kakosea. Inatosha. Mambo ya kuanza kumtetea kuwa kashauriwa, sijui washauri wake ni wabaya ni kujaribu kumnasua na Matendo anayoyafanya. Ni kama unajaribu kueleza kuwa Rais Hakosei Jambo ambalo ni Uongo. Hakuna binadamu asiyekosea.
Kusema Rais anashauriwa vibaya kunatoa tafsiri na maana nyingi kama ifuatavyo;
1. Woga na unafiki
Unashindwa kuongea moja Kwa moja kuwa hapa Rais kakosea. Yaani kiufupi unashindwa kuwa mkweli. Watu Wanafiki wanatabia ya kutaka kuongea lakini wakiongea hushindwa kusema Ukweli. Wanakuwa na kiherehere na uchawa au upambe. Huo ni unafiki.
Wakweli wananamna mbili ya kufanya, ni aidha aseme ukweli wote pasipo kufichaficha au kunyamaza Kabisa. Sio kutoa mambo nusunusu.
2. Inamaanisha Rais Hana Akili ya kujua kibaya ni kipi na kizuri ni kipi
Rais sio Mtoto Mdogo, kusema Rais anashauriwa vibaya yaani anadanganywa ni kujaribu kueleza kuwa Rais hana Akili.
Kwamba yeye akipewa ushauri anaufanya pasipo kufikiri. Kiufupi ni matusi kusema Rais anashauriwa vibaya.
Mbali na hivyo ni kujaribu kusema wapo Watu wanaomdharau Rais na kutokumheshimu(kutokumuogopa) ndio maana wanauwezo WA kumshauri vibaya(kumdanganya). Hiyo sio tuu kumtukana Rais Bali kutukana Taasisi nzima ya Urais.
3. Inamaanisha Rais ni Mbaya na muovu
Yaani waje Watu wakushauri hapo twende tukaibe, au tupige dili alafu ukakubali alafu atokee mtu aseme umeshauriwa vibaya.
Kikawaida washauri hutoa ushauri kulingana na MTU alivyo. Ukiwa Mbaya utapewa ushauri Mbaya. Ukiwa mzuri ni ngumu sana washauri kukupa ushauri Mbaya Kwa sababu wanakujua fika. Tena Kwa nafasi ya Rais ni ngumu MTU akakushauri vibaya ilhali anajua wewe ni Mwema.
Haya unashauriwa vibaya alafu unatenda Ule ushauri Mbaya. Alafu wasingiziwe washauri. Huo ni Uongo.
Kikawaida mtu hujaribiwa Kwa tamaa, matamanio yake. Ubaya wa mtu upo ndani ya MTU na ndio unaojaribiwa. Ubaya siku zote hautoki nje kwenda ndani ya MTU. Bali unatoka ndani ya mtu kwenda nje.
Nazungumzia Kwa Watu wazima.
Uovu au uhalifu mara nyingi haunaga kisingizio. Kama ulivyo Wema nao hauna kisingizio.
Ukiona jitu ni jizi, fisadi, jambazi, Muuaji, mbakaji, na dhambi zingine jua Yale ayafanyayo yanatoka ndani yake na hakuna sababu ya nje inayoweza mfanya MTU kuwa Mtu Mbaya.
Ukiona MTU ni Malaya anafanya ukahaba ili ajipatie fedha, umaskini anaosema ndio Sababu, huo ni Uongo. Ila yeye ndani yake ndio Yuko hivyo. Narurudia, ubaya wa mtu upo ndani yake na kamwe ubaya hautoki nje. Vinavyotokaje ni vichocheo tuu.
Hata hivyo, Mtu huweza kudanganywa na kupotoshwa kuhusu Jambo Fulani. Lakini mpotoshaji, na anayepotoshwa wote wanakuwa katika nafasi Sawa pale watendapo Kosa Hilo. Tena mtendaji anakuwa ndiye mkosaji Square.
Chagua Watu waadilifu, Wema na wapenda HAKI.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Mimi sio chawa Wala sio mshabiki wa Vyama vyenu..
Wewe tuambie Rais Samia kafanya kipi Cha ajabu ambacho ni kosa kisheria?
sasa tumlaumu nani wakati anachagua yeye washauri woteKiranga anakuwaga sahihi Sana kwenye nchi established..kama hizo USA na UK..zenye traditions za mda mrefu ..Sisi hata hao washauri wa Rais hatuwajui...wala vetting ipi imetumika kuwapata hatujui...Sisi ni nchi changa sana kumlaumu Rais Kwa kilakitu sio sawa let alone an accidental president
we jamaa huwa ni boss wa nini. how old are uMbona Nyerere alishauriwa vibaya kuhusu vijiji vya jamaa na watu wakafa na hatukusema Nyerere Hana akili??
Mkuu,Mbona Nyerere alishauriwa vibaya kuhusu vijiji vya jamaa na watu wakafa na hatukusema Nyerere Hana akili??
"Mimi ukinishauri ndio unakuwa umeharibu kabisa" J.....M