Kusema Rais anashauriwa vibaya ni kujaribu kueleza kuwa Rais hana akili; naona ni ukosoaji wa kinafiki

Mkuu,

Mbona watu wanasema Nyerere hana akili?

Mbona Rupia alimuita Nyerere lofa kwa hoja za Ujamaa, to his face, na Nyerere mwenyewe hakufanya kitu?
Few kama hao kina Rupia yes..
Lakini Kwa watanzania Wengi Nyerere ni almost God...
Leo mwaka 2023 mtu anataka tumtumie Nyerere kama reference kwenye masuala ya investment...
Wakati mtu wa kulaumiwa Sana Kwa kuzalisha Taifa la kila mtu kuamini Serikali inaweza kila kitu na serikali haishiwi pesa ni Nyerere...
 
Aliyemshauri Magu suala la Korosho za Ntwara, walahi hataiona Pepo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…