The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,282
- 117,244
Few kama hao kina Rupia yes..Mkuu,
Mbona watu wanasema Nyerere hana akili?
Mbona Rupia alimuita Nyerere lofa kwa hoja za Ujamaa, to his face, na Nyerere mwenyewe hakufanya kitu?
Lakini Kwa watanzania Wengi Nyerere ni almost God...
Leo mwaka 2023 mtu anataka tumtumie Nyerere kama reference kwenye masuala ya investment...
Wakati mtu wa kulaumiwa Sana Kwa kuzalisha Taifa la kila mtu kuamini Serikali inaweza kila kitu na serikali haishiwi pesa ni Nyerere...