Kusema Shahidi hajui Kiingereza ni kuizalilisha elimu yetu.

August

Platinum Member
Joined
Jun 18, 2007
Posts
10,983
Reaction score
7,157
Bila kuathiri mwenendo WA Kesi na bila Kujua , Mwendesha Mashtaka na shahidi wamekuja na mkakati wa kusema kwamba Shahidi-Polisi hajui kiingereza hivyo PGO alishindwa kuifuata inavyo taka.

Sasa hapo ni kulitusi geshi la Polisi na Elimu yetu na sirikali yetu tukufu kwamba haijui inachofanya kwenye ilimu hususan somo la kiingereza, na huku beta wanataka kuja na diploma ya housigeli au hausiboi
 
kujua au kutokujua lugha fulani kwa shahidi hakuzuii mtuhumiwa kutiwa hatiani, hasa muhaini:1Head:
 
Kuizalilisha ndiyo nini? Nyote ndio hao hao.....
 
Bila kuathiri mwenendo WA Kesi na bila Kujua , Mwendesha Mashtaka na shahidi wamekuja na mkakati wa kusema kwamba Shahidi-Polisi hajui kiingereza hivyo PGO alishindwa kuifuata inavyo taka.

Sasa hapo ni kulitusi geshi la Polisi na Elimu yetu na sirikali yetu tukufu kwamba haijui inachofanya kwenye ilimu hususan somo la kiingereza, na huku beta wanataka kuja na diploma ya housigeli au hausiboi
Hakuna shida kabisa wakalimani wapo
 
kujua au kutokujua lugha fulani kwa shahidi hakuzuii mtuhumiwa kutiwa hatiani, hasa muhaini:1Head:
Ikiwa Shahidi muhimu kashindwa kutoa support document kwa alichokiandika Mahakama itaamini vipi ushahidi wake??

Wako polisi ambao ni very smart lkn ni wachache mno. Ili upande cheo au uwe maarufu ndani ya jeshi lile wanasema ni lazima uwe mtoa rushwa, mtoto wa kigogo ndani mwake au mshirikina wa ukweli. Sasa wewe uko kundi lipi?
 
Bila kuathiri mwenendo WA Kesi na bila Kujua , Mwendesha Mashtaka na shahidi wamekuja na mkakati wa kusema kwamba Shahidi-Polisi hajui kiingereza hivyo PGO alishindwa kuifuata inavyo taka.

Sasa hapo ni kulitusi geshi la Polisi na Elimu yetu na sirikali yetu tukufu kwamba haijui inachofanya kwenye ilimu hususan somo la kiingereza, na huku beta wanataka kuja na diploma ya housigeli au hausiboi
Wengine hawajui hata ukisema kampuni una maanisha nn??
 
Bila kuathiri mwenendo WA Kesi na bila Kujua , Mwendesha Mashtaka na shahidi wamekuja na mkakati wa kusema kwamba Shahidi-Polisi hajui kiingereza hivyo PGO alishindwa kuifuata inavyo taka.

Sasa hapo ni kulitusi geshi la Polisi na Elimu yetu na sirikali yetu tukufu kwamba haijui inachofanya kwenye ilimu hususan somo la kiingereza, na huku beta wanataka kuja na diploma ya housigeli au hausiboi
Wewe pia hujui kingereza
 
Back
Top Bottom