Kusema Yanga walipata mteremko Fainali sio kwamba ni chuki dhidi yao

Eeeh!!!! Mi dadako tena??

Sawa acha ni ignore hiyo part

Nimekuambia nitajie hizo timu ambazo zinaweza kufanana ubora na Wydad, Al Ahly, Simba, na Mamelody.

We unakuja na ngonera za Monastir, hivi unajuwa uneliewa vizuri swali?
 
Tp mazembe nao mnawaweka kwenye mzani gani?maana katika hao waliowataja ni al ahly tu ndio wako weight sawa na tp mazembe
Umeona nimemtaja Tp Mazembe hapo?

Unajua kwanini?

Hiyo ni timu ambayo ina jina ila currently haina ubora.

Na ndio maana sijataka kumtaja Vipers eti kwakua tu alimfunga Mazembe
 
Eti kucheza robo kila siku
Akienda confederation anaishia robo
Akija champions league anaishia robo ila anajiona mkubwa
Tumechoka kusikiliza kelele zao. Kama wanaona sisi hatuwezi kucheza na hao Raja au Wydad wawalete tuwashughulikie tu.. Simba timu kubwa mbele ya nani? NBC Mkuu lao tumewapa
 
Eeeh!!!! Mi dadako tena??

Sawa acha ni ignore hiyo part

Nimekuambia nitajie hizo timu ambazo zinaweza kufanana ubora na Wydad, Al Ahly, Simba, na Mamelody.

We unakuja na ngonera za Monastir, hivi unajuwa uneliewa vizuri swali?
FAR RABAT, amewazidi wote wa MOROCCO. Na huyu ametolewa na USM ALGER.
USM ALGER amecheza hadi fainali ya Ligi ya Mabingwa 2015 uje ulinganishe na VIBONDE WA AZAM?
Uko timamu wewe kweli?
 
FAR RABAT, amewazidi wote wa MOROCCO. Na huyu ametolewa na USM ALGER.
USM ALGER amecheza hadi fainali ya Ligi ya Mabingwa 2015 uje ulinganishe na VIBONDE WA AZAM?
Uko timamu wewe kweli?
We unajua mpira kweli?

FAR RABAT kawazidi wote wa Morroco kwa aspects gani na criteria zipi?
 
Bishana na Msimamo huo sasa maana unaonekana ushapagawa na kuchachawa....View attachment 2647335
Stuka tumia

Kuongoza ligi kuu kuna implications gani za kukufanya wewe uwe bora kimataifa?

Na hata hapo ukiangalia utofauti ni point 1 lakini hiyo sio sababu hata ingetokea gape ni point 10 that doesn't prove a thing.

Zalan mliifunga goli 6 kule kwao ilikuwa ni Bingwa, so hoja hapo ni nini?
 
Shtuka mkuu, wahi Milembe.
FAR RABAT amebeba Klabu Bingwa mara 1, na Confederation mara 1
Utafananisha na timu lenu hilo teja wa AZAM???

Huko kwenye ligi si wanakutana nao, mbona anawafumua? Unadhani Wydad anataka kupoteza mbele ya Far Rabat?
 
Shtuka mkuu, wahi Milembe.
FAR RABAT amebeba Klabu Bingwa mara 1, na Confederation mara 1
Utafananisha na timu lenu hilo teja wa AZAM???

Huko kwenye ligi si wanakutana nao, mbona anawafumua? Unadhani Wydad anataka kupoteza mbele ya Far Rabat?
Kubeba Club Bingwa mara 1 ndio kunamfanaya awe juu ya Wydad?

Unaelewa hata unachokiandika hapa?

Unazijua rekodi za Wydad?
 
We jamaa utakuwa huelewi hata ukiandikacho... mashabiki wengi wa simba kazi yenu ni kupinga... tena kwa hoja ambazo baadae mnakuja kujipinga wenyewe.... kwa maaandishi yako unamaanisha "kuongoza ligi kuu hakukufanyi uwe bora kimataifa" na wakati huohuo mnawaita dhaifu wale waliofika nusu fainali michuano ya CAF na kushika nafasi mbovu kwenye ligi zao..?? tushike lipi na tuwaelewe vipi

NB:
River United alimpiga wydad kule nigeria 2:0
Yanga akamfunga River United hapohapo nigeria 2:0
hii tunaiwekaje??
 
Kubeba Club Bingwa mara 1 ndio kunamfanaya awe juu ya Wydad?

Unaelewa hata unachokiandika hapa?

Unazijua rekodi za Wydad?
Kama uko timamu sasa kwanini uilinganishe SIMBA na USM ALGER?
1. Amefika fainali Klabu bingwa
2. Amecheza nusu fainali mara 2 klabu bingwa.
3. Amechukua Shirikisho.

Mbona unasema Simba ni mkubwa wa USM Alger? Kama unatumia hizo Rekodi, Simba inawazidi nini USM ALGER?

Ndio maana nimekuuliza wewe ni mzima kichwani?
 
Jamani kwani tatizoo nn? Mashindano yashaishaa kila mtu ajipange mwakaniii.

Kikubwaa Makombe yote yamebaki huko uarabuni.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unaelewa vigezo vinavyotazamwa ku determine ubora?

Amefika fainali Club Bingwa mwaka gani?

Unaelewa rekodi ya ubora ni kama baiskeli, ili u maintain balance unatakiwa uzidi kujongea?

USM ALGER pamoja na kuchukua kombe la loser, unaweza kumtegemea awe juu ya Pyramids?

Consistency ya ubora wa Pyramids katika kila misimu ndio inayokuja kutofautisha, kupata kombe kwasababu ya ubovu wa wapinzani haiwezi kukufanya ujione big fish.
 
We ni PIMBI.
 
Yaani mnatumia msimamo wa Ligi kuonesha USMA ni timu dhaifu ila sisi tukiutumia msimamo wa Ligi kuonesha FAR Rabat ni timu bora msimu huu mnakataa. Hii imekaaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…