Ng'wale
JF-Expert Member
- Nov 24, 2011
- 4,690
- 3,399
Kolo = DundukaKolo ndio nini sasa...mbona unaongozwa na hisia tena mzee....jadiliana kwa nidhamu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kolo = DundukaKolo ndio nini sasa...mbona unaongozwa na hisia tena mzee....jadiliana kwa nidhamu
Eeeh!!!! Mi dadako tena??[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] Akili zitakukaa sawa tu dadangu, haya umewadharau hao USM Alger na MARUMO nimekuonesha timu walizozitoa na hapo sijakuwekea US MONASTRY ambaye alimtoa Bingwa mtete RS Berkane.
Huyo Pyramid ni wa 2 kwao Egpty na wamepishana point 1 na Al ahly.
Umeona nimemtaja Tp Mazembe hapo?Tp mazembe nao mnawaweka kwenye mzani gani?maana katika hao waliowataja ni al ahly tu ndio wako weight sawa na tp mazembe
Tumechoka kusikiliza kelele zao. Kama wanaona sisi hatuwezi kucheza na hao Raja au Wydad wawalete tuwashughulikie tu.. Simba timu kubwa mbele ya nani? NBC Mkuu lao tumewapaEti kucheza robo kila siku
Akienda confederation anaishia robo
Akija champions league anaishia robo ila anajiona mkubwa
FAR RABAT, amewazidi wote wa MOROCCO. Na huyu ametolewa na USM ALGER.Eeeh!!!! Mi dadako tena??
Sawa acha ni ignore hiyo part
Nimekuambia nitajie hizo timu ambazo zinaweza kufanana ubora na Wydad, Al Ahly, Simba, na Mamelody.
We unakuja na ngonera za Monastir, hivi unajuwa uneliewa vizuri swali?
We unajua mpira kweli?FAR RABAT, amewazidi wote wa MOROCCO. Na huyu ametolewa na USM ALGER.
USM ALGER amecheza hadi fainali ya Ligi ya Mabingwa 2015 uje ulinganishe na VIBONDE WA AZAM?
Uko timamu wewe kweli?
Bishana na Msimamo huo sasa maana unaonekana ushapagawa na kuchachawa....We unajua mpira kweli?
FAR RABAT kawazidi wote wa Morroco kwa aspects gani na criteria zipi?
Stuka tumiaBishana na Msimamo huo sasa maana unaonekana ushapagawa na kuchachawa....View attachment 2647335
Shtuka mkuu, wahi Milembe.Stuka tumiaView attachment 2647336
Kuongoza ligi kuu kuna implications gani za kukufanya wewe uwe bora kimataifa?
Na hata hapo ukiangalia utofauti ni point 1 lakini hiyo sio sababu hata ingetokea gape ni point 10 that doesn't prove a thing.
Zalan mliifunga goli 6 kule kwao ilikuwa ni Bingwa, so hoja hapo ni nini?
Kubeba Club Bingwa mara 1 ndio kunamfanaya awe juu ya Wydad?Shtuka mkuu, wahi Milembe.
FAR RABAT amebeba Klabu Bingwa mara 1, na Confederation mara 1
Utafananisha na timu lenu hilo teja wa AZAM???
Huko kwenye ligi si wanakutana nao, mbona anawafumua? Unadhani Wydad anataka kupoteza mbele ya Far Rabat?
Robo mara nneHuyu mwanga tu aka kigaguraaa aka winchi aka undimbo.. mapenzi yako mbele kuliko uelewa. Bado anaona Simba timu kubwa hapo kakariri tu... Anaish na chuki zisizo na sababu. Muulize sasa ukubwa wa simba uko kwenye Nini?
We jamaa utakuwa huelewi hata ukiandikacho... mashabiki wengi wa simba kazi yenu ni kupinga... tena kwa hoja ambazo baadae mnakuja kujipinga wenyewe.... kwa maaandishi yako unamaanisha "kuongoza ligi kuu hakukufanyi uwe bora kimataifa" na wakati huohuo mnawaita dhaifu wale waliofika nusu fainali michuano ya CAF na kushika nafasi mbovu kwenye ligi zao..?? tushike lipi na tuwaelewe vipiStuka tumiaView attachment 2647336
Kuongoza ligi kuu kuna implications gani za kukufanya wewe uwe bora kimataifa?
Na hata hapo ukiangalia utofauti ni point 1 lakini hiyo sio sababu hata ingetokea gape ni point 10 that doesn't prove a thing.
Zalan mliifunga goli 6 kule kwao ilikuwa ni Bingwa, so hoja hapo ni nini?
Kama uko timamu sasa kwanini uilinganishe SIMBA na USM ALGER?Kubeba Club Bingwa mara 1 ndio kunamfanaya awe juu ya Wydad?
Unaelewa hata unachokiandika hapa?
Unazijua rekodi za Wydad?
Unaelewa vigezo vinavyotazamwa ku determine ubora?Kama uko timamu sasa kwanini uilinganishe SIMBA na USM ALGER?
1. Amefika fainali Klabu bingwa
2. Amecheza nusu fainali mara 2 klabu bingwa.
3. Amechukua Shirikisho.
Mbona unasema Simba ni mkubwa wa USM Alger? Kama unatumia hizo Rekodi, Simba inawazidi nini USM ALGER?
Ndio maana nimekuuliza wewe ni mzima kichwani?
We ni PIMBI.Unaelewa vigezo vinavyotazamwa ku determine ubora?
Amefika fainali Club Bingwa mwaka gani?
Unaelewa rekodi ya ubora ni kama baiskeli, ili u maintain balance unatakiwa uzidi kujongea?
USM ALGER pamoja na kuchukua kombe la loser, unaweza kumtegemea awe juu ya Pyramids?
Consistency ya ubora wa Pyramids katika kila misimu ndio inayokuja kutofautisha, kupata kombe kwasababu ya ubovu wa wapinzani haiwezi kukufanya ujione big fish.
Ushawahi ona wapi kuna Pimbi mrefu?We ni PIMBI.
Ok kumbe we Mbugila ni mrefu sio? Haya dadangu nisikuchoshe uwe na usiku mwema.Ushawahi ona wapi kuna Pimbi mrefu?
Yaani mnatumia msimamo wa Ligi kuonesha USMA ni timu dhaifu ila sisi tukiutumia msimamo wa Ligi kuonesha FAR Rabat ni timu bora msimu huu mnakataa. Hii imekaaje?Stuka tumiaView attachment 2647336
Kuongoza ligi kuu kuna implications gani za kukufanya wewe uwe bora kimataifa?
Na hata hapo ukiangalia utofauti ni point 1 lakini hiyo sio sababu hata ingetokea gape ni point 10 that doesn't prove a thing.
Zalan mliifunga goli 6 kule kwao ilikuwa ni Bingwa, so hoja hapo ni nini?