Kusema Yanga walipata mteremko Fainali sio kwamba ni chuki dhidi yao

Kwanini ufikirie Yanga ilikuwa na "easy way", wewe unaonekana una matokeo ya kwenye makaratasi. Wapenzi wa mpira wa miguu tunajua mpira ni dakika 90. Timu inayoshinda ndio mshindi wa wakati huo. Mashindano ni mashindano Hakuna kitu kama "easy way" , timu yoyote lazima iweke mikakati ya kushinda kila mechi - hakuna "easy match" Anayefanya vizuri mpatie sifa yake . Wa Tz tuache kujidharau.
 
Hapa ndipo hua mashabiki wa bongo mnachosha akili unasema Pyramid ni timu bora then unasema Marumo ni wabovu wakati huo huo Marumo kamtoa Pyramid [emoji119][emoji119][emoji119]
 
Hapa ndipo hua mashabiki wa bongo mnachosha akili unasema Pyramid ni timu bora then unasema Marumo ni wabovu wakati huo huo Marumo kamtoa Pyramid [emoji119][emoji119][emoji119]
Ulifungwa na Ihefu ambayo ilikuwa kwenye nafasi ya kushuka daraja.

Je hiyo inathibitisha kuwa Ihefu ni bora kuliko nyie?
 
Bingwa wa kujichanganya, ulipo unawahukumu Marumo na USM Alger kwa kutumia misimamo ya ligi zao, umeonyeshwa wababe wako wanavyo buruzwa kwenye ligi umegeuka kukataa misimamo ya ligi kuwa kigezo[emoji23]
 
Nikaja tena nikawa challenge kwa swali hili.

Ihefu aliwafunga akiwa yupo kwenye nafasi ya kushuka daraja, je hiyo ni kuthibitisha kwamba Ihefu ni bora kuliko nyie?
 
Ulifungwa na Ihefu ambayo ilikuwa kwenye nafasi ya kushuka daraja.

Je hiyo inathibitisha kuwa Ihefu ni bora kuliko nyie?
Kwako wewe ubora unaupimaje? humu kila mtu lazima awe Yanga au Simba?
 
Kwako wewe ubora unaupimaje? humu kila mtu lazima awe Yanga au Simba?
Timu bora haimaanishi kwamba haiwezi kufungwa na timu mbovu.

Nottingham Forest aliyekuwa kwenye zone ya kushuka daraja alimpiga Arsenal goli 1, je hicho ndio kipimo kuonesha Nottingham Forest ni bora kuliko Arsenal?

Halafu sijaelewa yani leo unataka ujitoe kuwa wewe sio shabiki wa Yanga?
 
Bado huja nipa jibu ubora wa timu unaupimaje? ni wapi nlikwambia mimi shabiki wa Yanga au Simba? au nikipingana na mawazo yako nakua Yanga?
 
Nikaja tena nikawa challenge kwa swali hili.

Ihefu aliwafunga akiwa yupo kwenye nafasi ya kushuka daraja, je hiyo ni kuthibitisha kwamba Ihefu ni bora kuliko nyie?
Ihefu anaongoza ligi au amechukua ubingwa?
Hapo umeongyeshwa anaeongoza ligi sio ndondokela ya kubahatisha kama ihefu
Mkuu,mbona unajitoa ufahamu
 
Ihefu anaongoza ligi au amechukua ubingwa?
Hapo umeongyeshwa anaeongoza ligi sio ndondokela ya kubahatisha kama ihefu
Mkuu,mbona unajitoa ufahamu
Unaelewa concept iliyokuwa inajadiliwa hapa?

Arsenal amefungwa na Nott je Arsenal kachukua ubingwa?

Kama hajachukua ubingwa je hiyo inafanya Nott awe bora kuliko Arsenal kwasababu alimfunga?
 
Bado huja nipa jibu ubora wa timu unaupimaje? ni wapi nlikwambia mimi shabiki wa Yanga au Simba? au nikipingana na mawazo yako nakua Yanga?
Ubora wa timu ni consistency ya muendelezo wa matokeo mazuri dhidi ya washindani mwenye ubora wa juu.

Sio kupinga mawazo yangu, na wala sio mpaka ujitangaze kuwa wewe ni shabiki wa Yanga ndio tujue. (Japokuwa uliwahi kujitangaza)

Kuna mwenzako mmoja naye anajidai yupo neutral lakini hisia zina nguvu ana shindwa kujizuia
 
Okay kati ya Simba na Raja timu ipi ni bora kwako?
 
Okay kati ya Simba na Raja timu ipi ni bora kwako?
So hiyo screenshot ndio umeipotezea kabisa??

Okay tuachane na hayo ngoja nijibu swali lako la msingi.

Kati ya Raja na Simba, Raja ni timu bora tena sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…