Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Hapo Gongowazi ndio akili zenu zilipoishiaOk kumbe we Mbugila ni mrefu sio? Haya dadangu nisikuchoshe uwe na usiku mwema.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo Gongowazi ndio akili zenu zilipoishiaOk kumbe we Mbugila ni mrefu sio? Haya dadangu nisikuchoshe uwe na usiku mwema.
Kwani uongo kuwa ni wabovu?Yaani mnatumia msimamo wa Ligi kuonesha USMA ni timu dhaifu ila sisi tukiutumia msimamo wa Ligi kuonesha FAR Rabat ni timu bora msimu huu mnakataa. Hii imekaaje?
Kwanini ufikirie Yanga ilikuwa na "easy way", wewe unaonekana una matokeo ya kwenye makaratasi. Wapenzi wa mpira wa miguu tunajua mpira ni dakika 90. Timu inayoshinda ndio mshindi wa wakati huo. Mashindano ni mashindano Hakuna kitu kama "easy way" , timu yoyote lazima iweke mikakati ya kushinda kila mechi - hakuna "easy match" Anayefanya vizuri mpatie sifa yake . Wa Tz tuache kujidharau.Tukisema yanga alikuwa na easy way to the final tafsiri yake bado tunarudisha heshima kwa yanga, yaani tunaamini yanga hakukutana na wakubwa wenzie wakumpa challenge, tunaamini yanga ni bora sana kuliko aliocheza nao
Ukitaka tusiseme hivi tafsiri yake yanga uwezo wake na ubora wake si kama top wa south (mamelody, kaizer chief) Bali ni Sawa na mshuka daraja marumo, ukitaka tusiseme easy way tafsiri yake yanga hana uwezo wa kucheza na ahly, wydad,raja,kaizer,mamelody na wengineo ndio maana akaenda kucheza na wa level yake rivers united
Kwa mashabiki wote wa soka nchini wote kwa peak aliyoifikia yanga msimu huu tulitamani kuona akicheza na mamelody, ahly, kaizer,wydad,na raja that's why we claim that it was an easy pass na hatutabadili misimamo yetu kama wapenzi wa soka(nimejiondoa kwenye usimba) na huu kwangu Mimi ndio ukweli
Vipers SI waliwafunga hapa Dar au umesahauUtahira mwingine unakera hebu tuambie Simba imefika robo fainali kwakucheza na timu zipi zisizo dhaifu?
Horoya
Vipers
Raja kakukanda nje ndani.
Hapa ndipo hua mashabiki wa bongo mnachosha akili unasema Pyramid ni timu bora then unasema Marumo ni wabovu wakati huo huo Marumo kamtoa Pyramid [emoji119][emoji119][emoji119]Unaelewa vigezo vinavyotazamwa ku determine ubora?
Amefika fainali Club Bingwa mwaka gani?
Unaelewa rekodi ya ubora ni kama baiskeli, ili u maintain balance unatakiwa uzidi kujongea?
USM ALGER pamoja na kuchukua kombe la loser, unaweza kumtegemea awe juu ya Pyramids?
Consistency ya ubora wa Pyramids katika kila misimu ndio inayokuja kutofautisha, kupata kombe kwasababu ya ubovu wa wapinzani haiwezi kukufanya ujione big fish.
Ulifungwa na Ihefu ambayo ilikuwa kwenye nafasi ya kushuka daraja.Hapa ndipo hua mashabiki wa bongo mnachosha akili unasema Pyramid ni timu bora then unasema Marumo ni wabovu wakati huo huo Marumo kamtoa Pyramid [emoji119][emoji119][emoji119]
Umevuliwa nguo chutamaKuna sehemu nimemtaja FAR RABAT mimi?
Ana ukubwa gani huyo kumzidi Wydad?
Ndio team gani hiyo?mamelody
Bingwa wa kujichanganya, ulipo unawahukumu Marumo na USM Alger kwa kutumia misimamo ya ligi zao, umeonyeshwa wababe wako wanavyo buruzwa kwenye ligi umegeuka kukataa misimamo ya ligi kuwa kigezo[emoji23]Stuka tumiaView attachment 2647336
Kuongoza ligi kuu kuna implications gani za kukufanya wewe uwe bora kimataifa?
Na hata hapo ukiangalia utofauti ni point 1 lakini hiyo sio sababu hata ingetokea gape ni point 10 that doesn't prove a thing.
Zalan mliifunga goli 6 kule kwao ilikuwa ni Bingwa, so hoja hapo ni nini?
Nikaja tena nikawa challenge kwa swali hili.Bingwa wa kujichanganya, ulipo unawahukumu Marumo na USM Alger kwa kutumia misimamo ya ligi zao, umeonyeshwa wababe wako wanavyo buruzwa kwenye ligi umegeuka kukataa misimamo ya ligi kuwa kigezo[emoji23]
Kwako wewe ubora unaupimaje? humu kila mtu lazima awe Yanga au Simba?Ulifungwa na Ihefu ambayo ilikuwa kwenye nafasi ya kushuka daraja.
Je hiyo inathibitisha kuwa Ihefu ni bora kuliko nyie?
Timu bora haimaanishi kwamba haiwezi kufungwa na timu mbovu.Kwako wewe ubora unaupimaje? humu kila mtu lazima awe Yanga au Simba?
Bado huja nipa jibu ubora wa timu unaupimaje? ni wapi nlikwambia mimi shabiki wa Yanga au Simba? au nikipingana na mawazo yako nakua Yanga?Timu bora haimaanishi kwamba haiwezi kufungwa na timu mbovu.
Nottingham Forest aliyekuwa kwenye zone ya kushuka daraja alimpiga Arsenal goli 1, je hicho ndio kipimo kuonesha Nottingham Forest ni bora kuliko Arsenal?
Halafu sijaelewa yani leo unataka ujitoe kuwa wewe sio shabiki wa Yanga?
Ihefu anaongoza ligi au amechukua ubingwa?Nikaja tena nikawa challenge kwa swali hili.
Ihefu aliwafunga akiwa yupo kwenye nafasi ya kushuka daraja, je hiyo ni kuthibitisha kwamba Ihefu ni bora kuliko nyie?
Unaelewa concept iliyokuwa inajadiliwa hapa?Ihefu anaongoza ligi au amechukua ubingwa?
Hapo umeongyeshwa anaeongoza ligi sio ndondokela ya kubahatisha kama ihefu
Mkuu,mbona unajitoa ufahamu
Ubora wa timu ni consistency ya muendelezo wa matokeo mazuri dhidi ya washindani mwenye ubora wa juu.Bado huja nipa jibu ubora wa timu unaupimaje? ni wapi nlikwambia mimi shabiki wa Yanga au Simba? au nikipingana na mawazo yako nakua Yanga?
Okay kati ya Simba na Raja timu ipi ni bora kwako?Ubora wa timu ni consistency ya muendelezo wa matokeo mazuri dhidi ya washindani mwenye ubora wa juu.
Sio kupinga mawazo yangu, na wala sio mpaka ujitangaze kuwa wewe ni shabiki wa Yanga ndio tujue. (Japokuwa uliwahi kujitangaza)
Kuna mwenzako mmoja naye anajidai yupo neutral lakini hisia zina nguvu ana shindwa kujizuia
View attachment 2664341
So hiyo screenshot ndio umeipotezea kabisa??Okay kati ya Simba na Raja timu ipi ni bora kwako?