Inamaana wakati anatoka alipotoka hakuona anachoenda kulipwa ?
Tatizo la presenters wa bongo ni waoga sana wa maisha,,mtu ana jina kubwa bado anaangaika na mikataba,mara huku Mara kule...basi maboss wanakuchezea tu kama mpira wa safa bwege
Mtu kama lil omy alitakiwa kua bussy na channel yake,same kwa jonijo...mbona missago kaweza japo kachelewa ndio anapambana saiz? Millard ndio aliona hela ya channel yake mapema..saiz kawa boss...
Sasa jonijoo akitoka efm sjui ataenda wapi tena....na ukishatoka wasafi unakua kama mpya vile
By the way tutaimis block 89 hasa story za mtu imara[emoji2]
Sent using
Jamii Forums mobile app