Kazitunayo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2013
- 3,782
- 3,199
Duu mkali wa kutangaza au uzuri?nimekupata mkuu plz naomba unipe background ya aailiya wa wasafi fm ametokea media gani ni mtangazaji mkali sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duu mkali wa kutangaza au uzuri?nimekupata mkuu plz naomba unipe background ya aailiya wa wasafi fm ametokea media gani ni mtangazaji mkali sana
Ni kweli watangazaji wanaolipwa vizuri ni wale wanaopata commission za matangazo wanayopata, events na balozi kama akiwa na star power. Ila ukitegemea mshahara ni sawa na kujiooteza maana kama miaka minne nyuma niliambiwa only clouds ndo kidogo wanalipa mshahara mzuri. Kwa sasa sijuiNi kweli mkuu usemalo amebaki clouds kama kutoa shukrani lakini nlisikia interview yake anasema 2008 alikua analipwa mara tano ya ITV alipokua anapokea 300,000 means ni 1.5M lakini miaka 12 yupo apo means ameisha renew mikataba anaweza kua analamba ata 3.5 uko now japo mishe zake zinaingiza pesa nyingi sana zaidi ya kazi yake clouds maana anafanya matangazo ya kampuni nyingi sana na ninacho mpenda jamaa ni kua ni mtu mtaratibu sana na mkweli nlipo skiliza interview yake nlipata mambo mengi sana kujua kwamba ata kama umefeli class kutoboa maisha kupo kama ukipambana
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kuna redio mikoani kwa hilo suala la commision wamejikuta wanafanya kazi za idara ya masoko pasipo kujijua ili mradi wapate wadhamini kwenye vipindi,Ni kweli watangazaji wanaolipwa vizuri ni wale wanaopata commission za matangazo wanayopata, events na balozi kama akiwa na star power. Ila ukitegemea mshahara ni sawa na kujiooteza maana kama miaka minne nyuma niliambiwa only clouds ndo kidogo wanalipa mshahara mzuri. Kwa sasa sijui
usemacho kina ukweliNi kweli watangazaji wanaolipwa vizuri ni wale wanaopata commission za matangazo wanayopata, events na balozi kama akiwa na star power. Ila ukitegemea mshahara ni sawa na kujiooteza maana kama miaka minne nyuma niliambiwa only clouds ndo kidogo wanalipa mshahara mzuri. Kwa sasa sijui
Kuna redio mikoani kwa hilo suala la commision wamejikuta wanafanya kazi za idara ya masoko pasipo kujijua ili mradi wapate wadhamini kwenye vipindi,
Lakini changamoto ya mikoani taasisi nyingi Decision inatoka makao makuu ambako ni Dar, hupelekea redio nyingi kukosa matangazo na kurusha matangazo ya maduka, saloon etc, na kituo kinajiendeaha kwa hasara
Tuombe Mungu siku moja na iwe
Tena akili zao zipo kama hiviPale Robidinyo the mnyama mkali anapotoa taarifa kuwa Wasafi Tower ni ya kukodi.
wakati tunajua walishatangaza kuanza ujenzi Tangu 2017,
Hapo ndipo unapokubali usemi wa kuwa akili za kuambiwa changanya na zako mwenyewe.
Ni muda kipindi cha Block 89, mimi hukiita kipindi mama cha Wasafi FM, yeah its true ndio kilichoanza, hakiruki hewani.
Kuanzishwa kwa kipindi kipya cha The switch kulipelekea kipindi hiko kisiruke kwa sababu Maudhui yanafanana, nilishaleta uzi humu.
Kulikuwa na majadiliano kabla ya The Switch kuanza? Well, mazungumzo yalikuwepo ila muafaka haukufikia ndio maana kipindi kikasimama na The Switch ikachanja mbuga japo naona ni kipindi cha kawaida na siku zinavozidi kwenda ni kama The Playlist version 2 na Lil Ommy ndio ana dominate kipindi huku co-host Ray Mshana na Ammy Gal ni kama wasindikizaji.
Je, Lil Ommy hawaelewani na Jonijo tangu Times FM? Kuna tetesi kuwa walikuwa hawaivi tangu Times FM, na jamaa Lil Ommy ilikuwa kama ka dominate pale, japo Lil Ommy huwa hakubali hilo, pia huwa haelezi ukweli kama alimuonesha tobo Jonijo la Wasafi, japo wadau wanadai Jonijo alipewa mchongo na Ommy wa kusepa Wasafi.
Baadae wanakutana wote Usafini, na Jonijo anatakiwa adrop kwenye Block 89, abaki kwenye Bartender huku Brand iliomuweka mjini ya "Now you Know" ikipotea ambayo wengi walimjulia huko, ni kama ilimkata ila no way out.
Makubaliano ya kukifuta au kukibadili ratiba kipindi cha Block89 kama hakukubaliana nayo na kukaa pembeni hiyo inampa nafasi Lil Ommy kuteka waves za Usafini na jamaa kukaa bench pamona na wenzake wa2 ambao haileweki wanaelekea wapi.
Baadae tunaona Majizo kalamba Dume huku Wasafi wakipoteza mashabiki wa Jonijoo kwenye Bar tender na Block89, Jonijoo kaenda Efm, je atatangaza kipindi gani redion au Kwenye Tv? Namuona Jonijoo akisettle pale na kufanya makubwa zaidi ya alipokuwa awali.
Bila Lil Ommy kwenda Wasafi Jonijoo angeendelea kuwepo na kushine kupitia Bartender. Kutoelewana na Lil Ommy, shida ilishawahi tokea pia kwa Calipso kipindi yupo Timesfm kwenye Playlist iliomekana kama jamaa anambania na akasepa Clasaic fm, maneno yakaja kijiweni kua Ommary ni mtu sio na kile kipindi hataki mtu mwingine, swali Ammy gal kawezaje mpaka wamefika hapa?
Me sijui, Baada ya Lil Ommy kufika Wasafi hao hao pia wanatandika daruga.
Yetu macho Ya Kuku Mayai aacha mchezo Uendelee
Tchaoo
Hii comment ulikua uanchangia Uzi huu..?, maana naona kama kuna watu unazungumza nao harafu hawako sayari hii etiiImekua kama tabia sasa kutukana watu wanaotofautiana Kimtazamo na ninyi
Jonijo alivyohamia Wasafi mlimsifia sana na mkampamba sana, Leo hii kila anachopost toka amehama hapo wasafi anakula matusi kwenye kila post, Pia Rich Mavoko na Harmonize wametukanwa sana Yani kila anaetoka hapo wasafi kwenu ni adui
Zari pia Mlimtukana sana, Akaja Hamisa mkachamba kweli kweli, Na Tanasha pia Mnamwagia Matusi Yani Mmekua Wendawazimu mihemko inawazidia Mpaka Mnaingilia ugomvi wa Diamond na Wazazi wenzake,
Nikiwa kama Mtaalamu Nawashauri,. Nyie mdili na Kazi zake tu mambo ya mahusiano Hayawahusu hasa watoto wa Kiume Acheni michambo kwa hao Masingle mother Mnatuaibisha tabia zenu za kijinga Zinafanya mataifa ya nje yatuone Vijana wote wa tanzania ni mazwazwa kama nyie
Mfano halisi ni Juma lokole mtangazaji na shabiki Mkubwa wa Wcb Sasa mmeungana nae Kumchamba Tanasha.
Hiyo Tower inayofanyiwa marekebisho ni ya Kukodi, punguzeni Mihemko
Majirani zenu huko Tuangoma