Kusepa kwa Jonijo Wasafi; Je, Lil Ommy anachangia?

Ipo hivi ameondoka kisa maslahi kuwa kiduchu na amepima uwezo wke akaona hapa na mshahala ninaoupata sio size yangu ndio mana umeona imekuwa rahisi sana kuondoka pale tu alipoona amepata sehemu yenye maslahi mazuri
 
Binafsi umenisikitisha.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nipo hapa kmya nmetuua tyuh kuona shombo za misukule na ndondocha za domokaya, hihihihihihihihihihihihihihih

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inamaana wakati anatoka alipotoka hakuona anachoenda kulipwa ?

Tatizo la presenters wa bongo ni waoga sana wa maisha,,mtu ana jina kubwa bado anaangaika na mikataba,mara huku Mara kule...basi maboss wanakuchezea tu kama mpira wa safa bwege

Mtu kama lil omy alitakiwa kua bussy na channel yake,same kwa jonijo...mbona missago kaweza japo kachelewa ndio anapambana saiz? Millard ndio aliona hela ya channel yake mapema..saiz kawa boss...

Sasa jonijoo akitoka efm sjui ataenda wapi tena....na ukishatoka wasafi unakua kama mpya vile

By the way tutaimis block 89 hasa story za mtu imara[emoji2]
Ipo hivi ameondoka kisa maslahi kuwa kiduchu na amepima uwezo wke akaona hapa na mshahala ninaoupata sio size yangu ndio mana umeona imekuwa rahisi sana kuondoka pale tu alipoona amepata sehemu yenye maslahi mazuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hvi unalipwa Kwa kiwango cha kubwabwaja au ni kutokana na pesa inayoingia Kwa kipind chako , mi navyojua salary kama salary ni kiduchu Sana pote tuu, ila pesa inaongezeka kulingana na matangazo yanavyomiminika kwenye kipind chako , na hapo ndo talent na creativity inaposimama , mafanikio kwenye media ni pure talent na creativity na sio kisomo kama uhasibu....demu wako anaweza kuwa anatumia nguvu nyingi Sana lakn yupo empty kwenye creativity , na hvo watu hawavutiwi na kipind chake lazima mshahara uwe kiduchu tuu
 
nimekupata mkuu plz naomba unipe background ya aailiya wa wasafi fm ametokea media gani ni mtangazaji mkali sana
 
Kwa hiyo tuchukulie kipindi hakina wadhamini kabisa huyo atalipwaje?kuhusu demu wangu sio njema kumuweka wazi humu ila jua tu kipindi chao kina wadhamini wa kutosha tu na wengine wapo kwenye mpango wa kuongezeka
 
aende clouds kama demand yake ni kubwa kihivyoo
 
NENO 100% True.
 
Ipo hivi ameondoka kisa maslahi kuwa kiduchu na amepima uwezo wke akaona hapa na mshahala ninaoupata sio size yangu ndio mana umeona imekuwa rahisi sana kuondoka pale tu alipoona amepata sehemu yenye maslahi mazuri
ukiongeacho sio kweli asilimia 100
 
m
Naona kulikuwa na uwezo wote kukaa kwenye the switch.
Au ndio mafahali wawili hawaishi zizi moja?
mafahali wawili hawawezi ishi zizi moja, Jonijo hawezi kuwa Co host anatakiwa kuwa na kipindi chake yeye kama yeye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…