Kusepa kwa Jonijo Wasafi; Je, Lil Ommy anachangia?

wewe unadai kilichomuondoa ni maslah, sio kweli kilichomuondoa sio maslahi, maslahi yalimuondoa kipindi yuko timesfm
Kwa ufahamau wako unafikiri kaondoka baada ya omy kuwa Wasafi fm au vipi
 
Sio kwel...unahis milard anapewa sh ngap hapo clouds? Na channel yake inamlipa kias gan? Hela anayopata kweny kujiajir kwake ni kubwa kuliko ya clouds..swala la yeye kubaki pale cmg huenda ni shukran tu and not otherwise
kujiajiri si rahisi kama unavofikiria, Millard ayo kajiajiri the same time kaajiriwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee udobi kumbe unalipa eeh! Kwelli mjomba wangu anacheza, mwaka wa 20 huu wA udobi na bado hajatoka.
 
(shukrani tu and not otherwise) hata Channel yake kama inamlipa mpunga mrefu kumbuka ana bills za kulipa ana team yule ya watu wengi tu wanadai mishahara, anatakiwa alipe kodi, yeye ni Brand na Clouds ni brand wote wanabebana, leo hii akitoka Clouds umaarufu/Kipato chake hauwezi kuwa kama alivo clouds elewa hilo
 
Huwa anafanya hivyo.

Wakati anafanya shughuli zake za kusafisha viatu hufungulia redio, kituo baada ya kingine.

Akirudi nyumbani jioni huwa anapata muda mubashara kabisa wa kutizama vipindi vya TV.

Then akipata ka muda hapo katikati anafanya hii punditry sasa na wengi tuna enjoy

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuna watu wana stress humu jf balaa[emoji23][emoji23][emoji23].

yaani mtu anamshukia mwingine mzima mzima mpaka unashangaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kupangia watu maisha wewe mzee
 
Kwani mishahara yao ina range kiasi gani kwa mwezi? Au tuseme kwa wastani mishara ya watangazaji wengi wa radio kwa Tanzania mi kiasi gani?
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

stidy
 
Uongo wa buji
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha asante mkuu
 
Reactions: Pep
Kwani mishahara yao ina range kiasi gani kwa mwezi? Au tuseme kwa wastani mishara ya watangazaji wengi wa radio kwa Tanzania mi kiasi gani?
Mishahara iko tofauti kwa Regional redio na National redio, mikoani watu wanachezea mpaka 300k, 200k inategemeana na nafasi yako, pia kwa redio kubwa mshahara unaweza kuwa wa kawaida ila bonus za matangazo ya kipindi chenu ukapata package kubwa, pia redio huwabeba watangazaji na kupata deals za ku host event, kuingiza sauti kwenye matangazo na matangazo madogomadogo
 
Ukivalishwa jezi na mchezo hujauelewa,Usipagawe.
Kaa umo umo Tushinde..
BANGO KAMA BANGO,Sikuhizi wanatujua
 
Usiwaambie wahuni kazi ngumu na Advance umekula,watakufinya..
Kamati ya nidhamu inatujua/PLATE NUMBER (A)
 

Ni kweli mkuu usemalo amebaki clouds kama kutoa shukrani lakini nlisikia interview yake anasema 2008 alikua analipwa mara tano ya ITV alipokua anapokea 300,000 means ni 1.5M lakini miaka 12 yupo apo means ameisha renew mikataba anaweza kua analamba ata 3.5 uko now japo mishe zake zinaingiza pesa nyingi sana zaidi ya kazi yake clouds maana anafanya matangazo ya kampuni nyingi sana na ninacho mpenda jamaa ni kua ni mtu mtaratibu sana na mkweli nlipo skiliza interview yake nlipata mambo mengi sana kujua kwamba ata kama umefeli class kutoboa maisha kupo kama ukipambana


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
kumpoteza jonijoo ni loss Kubwa sana
Inaweza isiwe loss kwa sasa ila kwa baadae wataelewa, pia naona wanashindwa kujitofautisha kati ya Media na Lebo.
Kama leo interview ya Suma lee haijaisha Babu Tale nae kaingia katkat kaja na mambo yake, interview ikaishia katikati, sasa huo ni Udwanzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…