Kusepa kwa Jonijo Wasafi; Je, Lil Ommy anachangia?

Kinachomfanya kubaki Clouda sio mshahara tena ila ni kupush mambo yake yaende kiwepesi and pia fununu ni kama Amplifaya imekuwa kama partnership sasa, coz mwamba anauwezo wa kuinunua ile airtime yote na kipindi kimeleta faida kubwa sana kwa matangazo yanayoruka
 
Acha afanye anachokipenda bujibuji


Maisha bila furaha na upendo ni bure hata kama una hela na miradi mingi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
In totally.. unadhani jonijo kabla ya kuingia wasafi alikuwa anΓ fahamika na watu.jibu ni noo
Ndio ujue wasafi wana impact kubwa
Unadhani watu wataanza kumfuatilia jonijo huko alipo jibu ni noo
Ndio ujue wasafi wana impact kubwa
Kwaiyo wasafi inaendelea kuwa media inayopendwa hata wangemleta presenter asiyejulikana.
Kwa hiyo alipo enda jonijo huko ni kama ameenda kujifukia kwenye shimo tu .

Hivi mtu imara sasa hivi anamishe gani pale wasafi.. najua kuwa Cally amebaki kwenye kipindi chake kile cha wasafi tv
 
Hata mi jonijo nimemfahamu akiwa Wasafi nilikuwa simfahamu kabisa huyo jamaa
 
Exactly mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kweli..hizo bills ndio zitakua covered na mshahara wa clouds? Alaf haya mawazo ya kushuka umaarufu ndio yanafanya weng washindwe kudeal na channels zao to the maximum..ndio uwoga niliosema hapo juu..yani sjui kwann ukishakua na boss unakua muoga kufanya mambo yako..jifunze kufanya mambo babu...acha uwoga
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata mi jonijo nimemfahamu akiwa Wasafi nilikuwa simfahamu kabisa huyo jamaa
Hapo ndipo inatakiwa tujue kuwa aliko enda ameenda kuua brand yake.na sio maslahi kama wengi wanavyodhani.pale wasafi wanalipa hela nyingi tu.ingekuwa .sababus ni malipo ommy asingeweza kuingia pspa
 
Mtu imara bado yupo
 
Ni suala la muda tu na yeye mtuimara aka mtimkavu,
mwamba kachili on this one, atamjoin jonijoo kule E-fm,kama sio mtuimara basi iamcalypso ataenda kule
Kama mondi atakuwa anashajifanya hajari.
 

Kuna aina 2 za watu
1. Maslai kwanza
2. Maslai yatajileta kwa kazi yangu kwanza.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kwako kashasha ,unaonaje mchango wa huyu mdau πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…