Kusepa kwa Jonijo Wasafi; Je, Lil Ommy anachangia?

Duh aisee ,kweli kuna watu hamna kazi za kufanya..
 
Ni kweli watangazaji wanaolipwa vizuri ni wale wanaopata commission za matangazo wanayopata, events na balozi kama akiwa na star power. Ila ukitegemea mshahara ni sawa na kujiooteza maana kama miaka minne nyuma niliambiwa only clouds ndo kidogo wanalipa mshahara mzuri. Kwa sasa sijui
 
Kuna redio mikoani kwa hilo suala la commision wamejikuta wanafanya kazi za idara ya masoko pasipo kujijua ili mradi wapate wadhamini kwenye vipindi,
Lakini changamoto ya mikoani taasisi nyingi Decision inatoka makao makuu ambako ni Dar, hupelekea redio nyingi kukosa matangazo na kurusha matangazo ya maduka, saloon etc, na kituo kinajiendeaha kwa hasara
 
usemacho kina ukweli
 
Hata mi jonijo nimemfahamu akiwa Wasafi nilikuwa simfahamu kabisa huyo jamaa
basi Wasafi media imembrand mpaka umemfahamu, wanamchango wao pia kumfikisha hapo alipo kwa sasa
 

Mkuu upo experienced na hiki kitu nimekubali.. Umeongea vitu real, ingia tu huko mkuu ndo panapokufaa
 
Imekua kama tabia sasa kutukana watu wanaotofautiana Kimtazamo na ninyi

Jonijo alivyohamia Wasafi mlimsifia sana na mkampamba sana, Leo hii kila anachopost toka amehama hapo wasafi anakula matusi kwenye kila post, Pia Rich Mavoko na Harmonize wametukanwa sana Yani kila anaetoka hapo wasafi kwenu ni adui

Zari pia Mlimtukana sana, Akaja Hamisa mkachamba kweli kweli, Na Tanasha pia Mnamwagia Matusi Yani Mmekua Wendawazimu mihemko inawazidia Mpaka Mnaingilia ugomvi wa Diamond na Wazazi wenzake,

Nikiwa kama Mtaalamu Nawashauri,. Nyie mdili na Kazi zake tu mambo ya mahusiano Hayawahusu hasa watoto wa Kiume Acheni michambo kwa hao Masingle mother Mnatuaibisha tabia zenu za kijinga Zinafanya mataifa ya nje yatuone Vijana wote wa tanzania ni mazwazwa kama nyie

Mfano halisi ni Juma lokole mtangazaji na shabiki Mkubwa wa Wcb Sasa mmeungana nae Kumchamba Tanasha.

Hiyo Tower inayofanyiwa marekebisho ni ya Kukodi, punguzeni Mihemko
 
Pale Robidinyo the mnyama mkali anapotoa taarifa kuwa Wasafi Tower ni ya kukodi.

wakati tunajua walishatangaza kuanza ujenzi Tangu 2017,

Hapo ndipo unapokubali usemi wa kuwa akili za kuambiwa changanya na zako mwenyewe.
 
Pale Robidinyo the mnyama mkali anapotoa taarifa kuwa Wasafi Tower ni ya kukodi.

wakati tunajua walishatangaza kuanza ujenzi Tangu 2017,

Hapo ndipo unapokubali usemi wa kuwa akili za kuambiwa changanya na zako mwenyewe.
Tena akili zao zipo kama hivi
 


Ndiyo nani hawa?
 
Hii comment ulikua uanchangia Uzi huu..?, maana naona kama kuna watu unazungumza nao harafu hawako sayari hii etii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…