Kawe Alumni
JF-Expert Member
- Mar 20, 2019
- 8,685
- 12,000
Very low!
Lijuakali unamfana chanzo sahihi cha taarifa? Vichwa vyenu vina nini?Kwa kauli ya Mh Lijua likali, tarifa hizi zinatutatanisha aisee,
Mbona kashasema Mkuu kwamba Mwamba alipelekwa Hospitali mishale ya saa 8 kwenda saa 9 na alikua matingasi kinoma." Sasa jambo lenyewe (Mbowe kuvamiwa) lina hadithi nyingi ya jinsi lilivyotokea maanake inasemekana jana mpaka saa sita usiku alikuwa mahali, inaniwia ugumu kusema chochote kwa hatua hii lakini...eeh! niseme tu kwamba msichukulie kama watu wanavyoongea, watakaosema hali halisi ni vyombo vya usalama na niwaombe vyombo hivyo vitoe taarifa mapema iwezekanavyo, waeleze ilitokea nini isiwe ni kazi yangu...wanavyozidi kuchelewa hadithi zinakuwa nyingi "-Spika Job Ndugai.
Siku zote Mwizi huwa na Kiherehere kingi tu cha Kujitetea na Unafiki uliokomaa kwa waliomshtukia au wale ambao wanataka Kumuadhibu akome.
Upunguani tu huu.What goes around comes around, kuna siku inakuja watawala watatawaliwa kwa fikra zao, hakuna marefu yasiyokuwa na mwisho, kama si wao basi kizazi Chao hakiwezi kukwepa malipo ya udhalimu huu.
baada ya kuona chama chake hakieleweki akaona ajipoze na konyagi,matokeo yake kazidisha mitungi kateleza kipindi anapanda ngazi kaanguka kavunjika mguu.Aseme ukweli tu.
Anaona aibu misukule yake watamwelewa vipi?baada ya kuona chama chake hakieleweki akaona ajipoze na konyagi,matokeo yake kazidisha mitungi kateleza kipindi anapanda ngazi kaanguka kavunjika mguu.Aseme ukweli tu.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]VIDEO: NDUGAI DHIDI YA SHAMBULIO LA LISSU.
Kama kuna mwanamke anakupaga uchi uyo ni mentalMimi nina mashaka Inawezekana hizi ni njama ndani ya chama kumpoteza Mbowe ili kuwapokonya watu wa Kilimanjaro Chama chao.
Huyo anazidi kudhibitisha kauli za CAG aliyepita Profesa Assad. Ndugai hakika ni mtu mwenye mtindio wa ubongo. Na baada ya tukio lile la kumpiga fimbo ya kichwa mpinzani wake alipaswa achunguzwe lakini kama kawaida yetu kila kitu bora liende tuu.Kwani Ndugai alikuwa kaombwa kutoa maelezo kwenye swala hili?
Mbona anazidi kujishusha daraja?
Avatar yako tu inaonyesha umezidi kufumuliwa topeUtalipwa na nini wakati Mbowe Mugabe kakomba ruzuku B8 yote!
usikute na wewe ni mwajiriwa wa serikaliTundu lissu mwenyewe hakutaka uchunguzi ufanyike mana alikimbia yeye pamoja na shahidi namba moja ( dereva ) ulitaka Askari waanzie wapi uchunguzi kama mashahidi wote hawataki kutoa ushurikiano?
maelezo kibao kama mdada yupo hedhiLeo chadema wamethibitisha kua muda wote walikua Wana wahadaa watu kua Serikal ilitoa ulinzi na camera eneo la tukio ambalo alishambuliwa Tundulisu
Leo katibu mkuu wa chadema John Mnyika amewambia waandish wa habari kua Baada ya tukio la shambulio la Tundulisu Dodoma serekal na Bunge vilikaa na kupanga ulinzi kwenye majengo yote ya serekal na kufunga CCTV camera na kuahid kuhakikisha ulinzi wa viongozi Jijin Dodoma. Na kuhoji Kwanini Serikal ili ahid ulinzi wa viongozi lakini Mh Mbowe kavamiwa Tena eneo la serekal?
My point Kama chadema wanajua kabisa kua kipind anashambuliwa Tundulisu hapakua na Ulinzi
Kwann wanailaum Serikal na kigezo Cha kutokua na security camera ndio ushaid kwao? Je tuseme chadema tukio walilipanga wao kwa udhaifu wa kutokua na Camera semehem ambayo ilistai kua na camera?
Kama mmnajua wakat anashambuliwa Tundulisu hapakua na mlinzi Kwann mnasema ulinzi ulitolewa?
Wewe ata nikibaki sina mkono huna cha kunifanyaJaribu kuandamana kwa kuamini polisi ni wachache utapunguziwa mkono ibaki na mmoja
Hapo kasema chumbani?wewe unayejificha kwenye keyboard kwa kusema kitu ambcho huna ushahidi nacho, siyo Muoga! hebu fanya ujasiri uende hadharani utaje huyo unayemtuhumu kwa jina lake halisi kuwa ndo kahusika ili tukuone we ni jasiri zaidi yake!
Wewe ata nikibaki sina mkono huna cha kunifanya